Aisee....wenzetu mna hela za kuchezea sana.Kuna kipindi kila nikitoka ofisini Nampa yule receptionist elfu ishirini. Eebwanaee yule mmama naona kila akiniona kisimi kina pwita.
Halafu sikuwahi kumuomba utelezi.
Msio na hela!!! Wewe na nani mkuu? [emoji28]Haya ndio mawazo ya watu tusio na hela na hatujiamini.
Your opinion is not my reality.Kuna kenge inasakwa soon damu itavuja
Kunywa soda nakuja kulipa
Tokea may ianze huu ndo uzi mzuri kwangu
Happy New Month to you🥂
Asante sana 😁😂😎😎🥴mpe hongera sana wife mnavumiliana
Mimi na wenzangu tusio na hela.Msio na hela!!! Wewe na nani mkuu? [emoji28]
Mbona kama unanilisha maneno? [emoji3064][emoji3064]
[emoji28][emoji28]Tanzania iwekeze kwenye elimu tu na ibadilishe mfumo wa elimu kabisa. Ndipo itaanza kuona maendeleo baada ya miaka 15 mpaka 20 ya mabadiliko ya aina ya elimu yetu.
Kama hatutobadili mfumo wa limu nje ndani, maendeleo ya kweli tusahau, tutabaki kuwa ombaomba tu.
Kwa o,mbaomba namaanisha tegemezi, mfumo wetu wa elimu siyo wa mtu binafsi kujitegemea, ni wa kila mtu kutegemea afanyiwe.
Mpaka sasa nishawaona wawili wewe na Evelyn Salt 😀😀Endelea kuwepo usome comments
Mjeda nae anayo haki ya kufurahishwa
Yote kheri mkuu [emoji1]Ukute uyo mdada unaemtumia hela kuna mwanaume mwingine anakula hapo hajawahi kutoa hata sh 10, na anapewa vinono kuliko wewe unaetoa hela
Kimbunga hidaya.🤣🤣🤣Ngoja wanaume wakware waje hapa na kasi ya kimbunga....😹
[emoji1666]Naaaaaaaaaaam!
[emoji482]
Luka 4:12Tumq namba sasa ili uzi utimie katika maisha yako ☺️😚
Huyu sasa ndio hata akisema hidaya hakuna, japo kuna upepo mkali basi tunamsikiliza 🤣Kabisa yaani tumekuja na Hidaya .
Huyu jamaa ni mchochezi msimsikilize!😊
Kufilisika sio rahisi mkuu [emoji28]Jichanganye ufilisike kwa kasi ya kimbunga
[emoji28][emoji28]Ndio, mpe mwanamke wako pesa na yeye ampe baasha wake. Tumekuelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Huyu atafutiwe sehemu nzuri sana....tupande na maua kabisa, tutakua tunaenda kupiga selfie pale.[emoji23]
Sanamu la tina tutazungushia nyaya za umeme, wanaume wana hasira nae sana
sijui nimtagKindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.
Au,
AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337
Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.
Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .
Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).
Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh bay nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k
Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.
Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.
N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.