Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Sina shaka nawewe kabisa!
Barikiwa sana lo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina shaka nawewe kabisa!
Hii imeenda! 👏👏👏😆😆😆 kuna watu mnajidanganya.
Mwanamke hata umuonge dunia, sio kwamba ndio atatulia. Mwanamke huwa hathamini fadhila, yeye huthamini tu hisia zake, jinsi hisia zake zitakapomtuma ndio hufanya.
Mwanaume, ukitaka uje uishi kwa majuto hapa duniani, basi wekeza pesa zako, nguvu zako, akili yako kwa wanawake, ututajuta.
Karibu sana mkuu [emoji2][emoji2]Biashara matangazo,, nakuja PM tuongee
Siyo Chattle binti mpole? 😁😁Mleta mada ujengewe sanamu lako kikizimkazi
Biashara matangazo,, nakuja PM tuongee
Nalifahamu kitambo sana mbona [emoji28]Nadhani hili jambo jamaa halifahamu.
Makasiriko ya nini tena mkuu [emoji23][emoji23]
Asante sana mkuu [emoji2][emoji2]Mleta mada ujengewe sanamu lako kizimkazi
Hujawajua Wanawake, kadri unavyokua utaelewa.,.!Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.
Au,
AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337
Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.
Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .
Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).
Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh bay nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k
Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.
Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.
N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
Sawaaa🤣[emoji23][emoji23]
Ngoja nimwambie apunguze [emoji28]
Watu wenye midevu like zenu za nini au na nyi mnataka mpewe hela mgongweUnatudanganya mkuu.
Hapa unatafuta likes za wanawake tu na utafanikiwa kuwadanganya ila sio sisi watu wazima na midevu yetu.
Mkuu wape hela hao ☺️Mkuu usi-mind sana basi, easy [emoji23][emoji23]
Eti hakikisha eti PM wazi [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimekuelewa!
Kwa sasa umebakiza kazi moja tu!
Hakikisha PM yako iko wazi!
Kila la heri! [emoji870]
[emoji23][emoji23][emoji23]utakuemo tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Heaven Sent usiwe unaweka mlio kwenye sms usiku, utakatishwa sana usingizi kwa txts za MPESA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikituma hata buku Tano tu,siku tukikutana hiyo camel toe p**y I'll turn it into casserole,
nikituma laki mbili, Waite polisi