Jifunze kumuacha aende

[emoji30] [emoji30] ,polee ila bora kuanza upya kuliko kumpenda mtu asokupenda, inaumiza ila ndyo hivo, Mimi kuna kamtu nakapenda ila kenyewe hakapendi hata ukucha wangu[emoji3] [emoji3] ,yaani unajua mtu hakupendi mpk unafahamu kabisa aisee
Hivi sisi wadaka chozi hamtuoni jamani [emoji23][emoji23]

Tunarudisha upendo, mapenzi na furaha iliyopotea kama uko mkoani vijana tunatuma bei zetu ni nafuu

Tuko kwa ajili yenu jaman matangazo si lazima yawe ya viwanja [emoji23][emoji23]
 

Nimeipenda hiyo,
 
Hivi sisi wadaka chozi hamtuoni jamani [emoji23][emoji23]

Tunarudisha upendo, mapenzi na furaha iliyopotea kama uko mkoani vijana tunatuma bei zetu ni nafuu

Tuko kwa ajili yenu jaman matangazo si lazima yawe ya viwanja [emoji23][emoji23]
Kwahiyo unamaanisha hili pia ni tangazo? Haya bana mdaka machozi, njoo udake hili basi[emoji30] [emoji30]
 
Kweli aisee nenda naniii,,nasema nendaee kibwengu wa kike wewe uliyetumia muda wangu na pesa zangu bila huruma wala shukrani,,Nendaaaa tena una bahati nimekusau hata jina
Hahahahha mapenzi hayo
 
Moyo una tabia za kishenzi sana. Yule mtu anaekukataa, anaekuonyesha visa vya kila aina we moyo ndio umazidi kumtaka sio kumpenda. Maana kiuhalisia unakua kama uko kwenye denial maana moyo wako utakua unakuambia yani yote haya unayomfanyia haoni basi wewe unazidisha upendo ili aone kumbe waaapi hamna kitu. Waswahili walisema la kuvunda halina ubani. Na hautaweza kumuacha huyo mtu mpaka moyo wako ukinai matukio unayofanyiwa.
 
Pole mkuu, kama unahisi hakupendi usijilazimishe sana kwake bora kuanza upya kuliko kuendelea na mtu ambaye hana malengo yoyote na wewe.
 
Ulimkosea kosa gani?
 
Amen
 
Wewe ni pumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…