Modrizzy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 971
- 1,782
Hivi sisi wadaka chozi hamtuoni jamani [emoji23][emoji23][emoji30] [emoji30] ,polee ila bora kuanza upya kuliko kumpenda mtu asokupenda, inaumiza ila ndyo hivo, Mimi kuna kamtu nakapenda ila kenyewe hakapendi hata ukucha wangu[emoji3] [emoji3] ,yaani unajua mtu hakupendi mpk unafahamu kabisa aisee
Tunarudisha upendo, mapenzi na furaha iliyopotea kama uko mkoani vijana tunatuma bei zetu ni nafuu
Tuko kwa ajili yenu jaman matangazo si lazima yawe ya viwanja [emoji23][emoji23]