Jifunze kumuacha aende

Tatizo utakuta kuna mwanamke anakupenda na yuko tayari kufa juu yako lakini wewe hauna mapenzi naye kama akupendavyo. Utajitahidi kutompigia simu au kutomuona, utashangaa siku ya siku anakupigia simu anataka kujuwa uko wapi na unafanya nini, huku akikulaumu mbona haumtafuti. Mimi ilinikuta hii, kuna mdada alitaka nimgegede akidai ana miaka miwili hajasuguliwa, kwa huruma wangu nikampoza kwa kumpa raha ya mbinguni.

Cha kushangaza, yeye akawa anawaambia wenzake mtaani kuwa mimi ni mtu wake wakati si kweli, mimi sikuwa na sijawahi kumpenda yule demu hata kidogo na hatuendani hata kidogo. Hapa najuta kwanini nilimpa uroda yule mdada, yaani sina hata chembe moja ndani ya moyo wangu inayompenda yeye, nashangaa sasa hivi yuko anawaambia wenzake kuwa mimi mshenzi, mwanamke feki, sina issue. Kwenye Instagram yake aachi kubandika status za kijinga kuwa alimpenda mtu na kuchezewa, niligundua hili baada ya yeye mwenyewe kuniambia nicheki status yake.

Kuna wanawake wajinga sana, unapenda mtu asiyekupenda kweli kisha unajichanganya akili?
 
Nipo kwenye hali kama hii nahitaj ushaur nahis kabisa dem wang yuko na mshkaj mwingine maana Jana kuna msela kaniambia uyo mshkaj kawatambulish kuw ndo shemej yao nimemuuliz kakataa kata kata ananiambia inamaana huniamini kiukweli nampend Sana tu Ila nahisi hanipnd kama ninavy mpend nilish jikaza nikamkazia siku mbili cjamtafuta akaja kunifuata unadhani niliwezi kujizuia hisia zangu ss nilijikuta tu nimemkumbatia sijui nifanyaje yaan dah nina wakati mgumu mno
 
Upo arround 20-24...
ukifika 25 plus njoo tuongee..
 
Umeongea Kwa uchungu pole sana ndugu utapata mwingine na ujitahidi huyu mwingine umutime ili uwahi kumuacha usije achwa tena
 
uwe unaangalia na muvi za mizukamizuko utakuwaje na roho nyepesi atakuendesha sana siku si kama rubani wa mama yetu
 
uko sawa mkuu
 
Umesema eti!? Hilo ndiyo chaguo lako[emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…