Jifunze kumuacha aende

Kweli we jamaa mbishi
 
Usiwe unamwambia kila saa nakupenda baby, i love you so much, nakupenda ujue... Ah achana na swaga hizo hapo ndipo anapoku overtake, kupenda sio kubaya ila kupenda kupitiliza ndiyo mbaya utachezewa mibuyu hapo utajiona umerogwa, halafu mapenzi yalivyo sasa yanakupotezea directions kabisa mapenzi ni madawa ya kulevya ukiyaendekeza yana kufyatua
 
Ndio mkuu hujakosea kbs
Amka hapo umelala sana usingizi.. Mapenzi yalikua enzi za wakina bibi kidude siku hizi hakuna kitu we utalia weee yeye pembeni anafurahi usimuonyeshe machozi yako hayamstahili
 
Mwanamke feki?

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 


Hongera kwa kujitambua walau umeonesha msimamo fulani.

Sema umekosea ulivyokubali kumla,

Tena una bahati si ajabu angekutegeshea mimba au kukuchomekea ya Mwanaume mwingine.

Halafu ukijenga mazoea naye anakuchukua inputs nakwambia huchomoki!

Kama ni ndoa yako itaingia misukosuko isoisha na pengine kuachana.
 
Ni kweli ila silalagi na demu nisiyempenda bila kinga....na kama ulivyosema, huyu demu ana dalili zote za kuwa mpulizaji unga kwa ndoa za Watu, yaani sikuwahi mkubali hata kidogo, hata nilipomla uroda nilisikitika sana kwanini nilifanya vile. Naona kama ana majini machafu mwilini mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…