Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo mpendwaHiyo sukari brown ndio hii Tunatumia majumbani asubuhi
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Naiweka usoni kwa muda gani ?Mahitaji
-Sukari ya brown kikombe kimoja
-Kahawa ya brown nusu kikombe
-Mafuta ya mzeituni nusu kikombe
-Lemon essential oil kijiko kimoja Cha chai(1tsp)
Hapo kwenye kikombe waweza tumia kikombe Cha chai(mug)au vile vikombe maalum vya kupimia malighafi vile ambavyo vina alama za vipimo.
Hii scrub ni nzuri mno na inafanya kazi vizuri pia..inatumika kwaa jinsia zote.
Inafanya ngozi kua clear
Inaglow
Inafifisha michirizi na cellulite
Inaondoa wrinkles
Alama nyeusi mwilini mfano mabaka nk.
Kiufupi hii scrub ni nzuri mno utakapoitumia.
Angalizo: Kama una tatizo na kahawa hii scrub haikufai.
Niwatakie asubuhi njema.
Ahsanteni.
JIFUNZE KUTENGENEZA MAFUTA MAZURI YA KUJAZA NA KUKUZA NYWELE KWA AJILI YA BIASHARA AU MATUMIZI BINAFSI
heyloooow!!!!..
Weekend inasemaje babes...nawapenda
Malighafi
Mafuta ya Nazi nusu kikombe
Mafuta ya mnyonyo Yale gold nusu kikombe
Mafuta ya vitamin E mls 14
Rosemary essential oil 7 drops..
Changanya hayo mafuta kwa pamoja yachanganyike.
Tayari kwa matumizi
Yanakuza nywele
Yanajaza nywele
Yanaondoa mba na muwasho katika ngozi
Yanazuia nywele kukatika
Ni mazuri mnoo😊
Nb:Kama utatumia haya Mafuta kwa mtoto tumia lavender essential oil drops 7 Kama ilivyo apo juu.. Rosemary essential oil si mazuri kwa watoto.
Tumia vikombe maalum vile vyenye alama za vipimo.
Naamini mtafaidika.. niwatakie weekend na jioni njema..
🙏🏿🙏🏿
Maduka maalum kwa wenye went kuuza organic products za urembo mfano butters hua mara nyingi wanauza hayo..Kuna mtu anaitwa blast scent huko ig bei yake nzuri tofauti na wengineDear mafuta ya Rosemarry yanapatikana maduka maalam au popote
Hio lemon essential inapatikana wapi pia na hio kahawa ya brown inapatikana sokoni au wapi?Mahitaji
-Sukari ya brown kikombe kimoja
-Kahawa ya brown nusu kikombe
-Mafuta ya mzeituni nusu kikombe
-Lemon essential oil kijiko kimoja Cha chai(1tsp)
Hapo kwenye kikombe waweza tumia kikombe Cha chai(mug)au vile vikombe maalum vya kupimia malighafi vile ambavyo vina alama za vipimo.
Hii scrub ni nzuri mno na inafanya kazi vizuri pia..inatumika kwaa jinsia zote.
Inafanya ngozi kua clear
Inaglow
Inafifisha michirizi na cellulite
Inaondoa wrinkles
Alama nyeusi mwilini mfano mabaka nk.
Kiufupi hii scrub ni nzuri mno utakapoitumia.
Angalizo: Kama una tatizo na kahawa hii scrub haikufai.
Niwatakie asubuhi njema.
Ahsanteni.
Hayo malighafi yanapatikana wapi?JIFUNZE KUTENGENEZA MAFUTA MAZURI YA KUJAZA NA KUKUZA NYWELE KWA AJILI YA BIASHARA AU MATUMIZI BINAFSI
heyloooow!!!!..
Weekend inasemaje babes...nawapenda
Malighafi
Mafuta ya Nazi nusu kikombe
Mafuta ya mnyonyo Yale gold nusu kikombe
Mafuta ya vitamin E mls 14
Rosemary essential oil 7 drops..
Changanya hayo mafuta kwa pamoja yachanganyike.
Tayari kwa matumizi
Yanakuza nywele
Yanajaza nywele
Yanaondoa mba na muwasho katika ngozi
Yanazuia nywele kukatika
Ni mazuri mnoo[emoji4]
Nb:Kama utatumia haya Mafuta kwa mtoto tumia lavender essential oil drops 7 Kama ilivyo apo juu.. Rosemary essential oil si mazuri kwa watoto.
Tumia vikombe maalum vile vyenye alama za vipimo.
Naamini mtafaidika.. niwatakie weekend na jioni njema..
[emoji1545][emoji1545]
Asante mpendwa kwa darasa zuri, ngoja nitamfatiliaMaduka maalum kwa wenye went kuuza organic products za urembo mfano butters hua mara nyingi wanauza hayo..Kuna mtu anaitwa blast scent huko ig bei yake nzuri tofauti na wengine
Aah poa dada angu ndio nataka nianze harakati za kutengeneza vipodozi ...nilikuwa naomba kujua one to one session unafanya?Madukani kariakoo..kwa Mafuta ya Nazi na mnyonyo
Nipo tayari kulipia km hautojaliMungu akutangulie
Hapana mpendwa sifanyi
Yna kuna scrub ya kahawa natumia inatoa povu zuri sana.Sifundishi live mpendwa.. samahani kwa hilo