Jifunze kutengeneza scrub ya kahawa" Coffee Scrub" kwa ajili ya biashara au matumizi binafsi

Jifunze kutengeneza scrub ya kahawa" Coffee Scrub" kwa ajili ya biashara au matumizi binafsi

Yes sisy.

Usoni sipendi kugusa na makororo mengine kabisa.mafuta ya nazi na sabuni papaya inatosha kabisa.

Naogopa kuleta mchezo na uso aisee
Sawa mamii..ngoja nitulie nitakuletea scrub ya miguu
 
Masokoni wanapouzi malighafi za lishe au waweza tumia nescafe
Nescafe coffee 🥰
Hii inapatikana kwangu mie ni dk 0 tu naipata.

Hayo ya kufika mpaka sokoni ni changamoto.
 
Nescafe coffee 🥰
Hii inapatikana kwangu mie ni dk 0 tu naipata.

Hayo ya kufika mpaka sokoni ni changamoto.
Haha..haya kazi kwako dear
 
Yes sisy.

Usoni sipendi kugusa na makororo mengine kabisa.mafuta ya nazi na sabuni papaya inatosha kabisa.

Naogopa kuleta mchezo na uso aisee
Scrub ya miguu
Tumia chumvi au Sukari kijiko 1tbsp
Mafuta ya mzeituni au Nazi kijiko1 tbsp
Waweza weka kahawa au liwa au mdalasini au karafuu kijiko1 thsp
Essential oil Ni option ila inaongeza ufanisi wa kazi ya scrub yako..tumia perpermint au lavender essential oil 2 drops
Changanya pamoja tumia..
Hakuna kinachobadili rangi kwenye hizo ingredients zaidi ya kufanya mguu uglow na kua soft
 
Back
Top Bottom