Jifunze kutengeneza scrub ya kahawa" Coffee Scrub" kwa ajili ya biashara au matumizi binafsi

Dear mafuta ya Rosemarry yanapatikana maduka maalam au popote
 
Naiweka usoni kwa muda gani ?
 
Weekend njema tu Yna. Shukrani kwa ujuzi huu
 
Dear mafuta ya Rosemarry yanapatikana maduka maalam au popote
Maduka maalum kwa wenye went kuuza organic products za urembo mfano butters hua mara nyingi wanauza hayo..Kuna mtu anaitwa blast scent huko ig bei yake nzuri tofauti na wengine
 
Hio lemon essential inapatikana wapi pia na hio kahawa ya brown inapatikana sokoni au wapi?
 
Hayo malighafi yanapatikana wapi?
 
Maduka maalum kwa wenye went kuuza organic products za urembo mfano butters hua mara nyingi wanauza hayo..Kuna mtu anaitwa blast scent huko ig bei yake nzuri tofauti na wengine
Asante mpendwa kwa darasa zuri, ngoja nitamfatilia
 
Madukani kariakoo..kwa Mafuta ya Nazi na mnyonyo
Aah poa dada angu ndio nataka nianze harakati za kutengeneza vipodozi ...nilikuwa naomba kujua one to one session unafanya?
 
Aah poa dada angu ndio nataka nianze harakati za kutengeneza vipodozi ...nilikuwa naomba kujua one to one session unafanya?
Mungu akutangulie
Hapana mpendwa sifanyi
 
Sifundishi live mpendwa.. samahani kwa hilo
Yna kuna scrub ya kahawa natumia inatoa povu zuri sana.

Nini kinawekwa kingine ili kupata povu?

Ahsante kwa SoMo umetusaidia wapenda scrub....

Naambiwa pia scrub ya chumvi ni nzuri, ukipata muda naomba weka maelekezo
 
Sukari ya brown kikombe kimoja
-Kahawa ya brown nusu kikombe
-Mafuta ya mzeituni nusu kikombe
-Lemon essential oil kijiko kimoja Cha chai(1tsp)

Nataka kujua huu mchanganyo wote ukiutengeneza unautumia kwa Mara moja Hadi uishe au utakuwa unauhifadhi ?

Na ukiwa unauhifadhi inabidi ukae kwa muda gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…