Jifunze kutokuamini watu ili uepuke kuumizwa

Upo sahihi kbsa mkuu, hapa Duniani hutakiwi kumuamini mtu kwa asilimia πŸ’― zaidi yako wewe mwenyewe.
 
[emoji23][emoji23] tanzania ye2 tu hii , ila yule ni vile tulikuwa kama mandugu , tumebebana since chuo ,alifanikiwa mbele yangu kimaisha kwa muda nilikaa kwake , tukajuana muda , sema alivoniosha mpaka leo siamini
Maisha ni fumbo hujuw kesho yupi atakupa huzuni na yupi atakupa furaha
 
Mm sikopeshi mtu awe ndugu au mtu baki.
Nina wadai watu wengi na hakuna dalili za kulipa.
Mtu nikimuonea huruma sana kumkosesha aje na mkewe amwache kwangu nimtumie hadi atakapo rudisha pesa yangu.
Sitaki ukhanithi mimi kwenye pesa.
 

Pesa ndefu sana hiyo
 
mtu akikuomba umkopeshe kiasi chochote cha pesa we mpe 1/4 kwa kumsaidia tu mwambie hali c nzuri pokea hii ila siyo kumkopesha epuka lawama na kuumizwa nafsi kwa kila hali
 
usemalo ni kweli , siku hizi imani ilikufa kabisa , hata watoto wangu huwa nawaangalia kwa mbali kwa ishu za pesa
Dah mkuu ata watoto wa kuwazaa huwaamini ! Hhhhhhhh hii dunia inaelekea mwisho sasa
 
Mwaka 2016 nilimuamini rafiki yangu nikasajili line yangu kwakutumia kitambulisho chake ,niliweka 250,000 kwenye tigo pesa huku na yeye akijuwa hilo.

Kilichofuata jamaa aka lock line ya simu akaenda li new mpya akatoa pesa yote halafu akaitupa ile line nilivyo fatilia tigo headquarter wakaniambia kuwa mimi mwenyewe nilipiga simu ku block line yangu.


Aaaaaaa binadamu [emoji114]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ tanzania ye2 tu hii , ila yule ni vile tulikuwa kama mandugu , tumebebana since chuo ,alifanikiwa mbele yangu kimaisha kwa muda nilikaa kwake , tukajuana muda , sema alivoniosha mpaka leo siamini
πŸ™Œ aisee,kuna watu mnaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…