The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Nimepoteza pesa na marafiki, sahivi simuamini mtu hata Kwa elfu 5..
Bora nikupe, nikiwa nipo teyari kupoteza
Bora nikupe, nikiwa nipo teyari kupoteza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ka fi**re kabisaHizi mambo za kukopesha ukipiga hesabu unajikuta umelaza pesa nyingi nje
Mwezi wa kwanza kuna kademu nilikakopesha 200k dalili ya kulipwa siioni saivi nafikiria nikatombe tu
mimi baba yangu ni mchagga na amiliki vitega uchumi lakini hamwamini mtoto hata mmoja kwenye shughuli zake anafanyaga mwenyewe na vijana wake. hilo lipo mkuuDah mkuu ata watoto wa kuwazaa huwaamini ! Hhhhhhhh hii dunia inaelekea mwisho sasa
Dah ila wachaga kwenye pesa mko vizurimimi baba yangu ni mchagga na amiliki vitega uchumi lakini hamwamini mtoto hata mmoja kwenye shughuli zake anafanyaga mwenyewe na vijana wake. hilo lipo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha masharti yako ni magumu mkuu pole sanaMm sikopeshi mtu awe ndugu au mtu baki.
Nina wadai watu wengi na hakuna dalili za kulipa.
Mtu nikimuonea huruma sana kumkosesha aje na mkewe amwache kwangu nimtumie hadi atakapo rudisha pesa yangu.
Sitaki ukhanithi mimi kwenye pesa.
Ndiyomana nimesisitiza tupunguze kuamini watu, kuamini sana watu ni chanzo cha kuumizwa.Mwaka 2016 nilimuamini rafiki yangu nikasajili line yangu kwakutumia kitambulisho chake ,niliweka 250,000 kwenye tigo pesa huku na yeye akijuwa hilo.
Kilichofuata jamaa aka lock line ya simu akaenda li new mpya akatoa pesa yote halafu akaitupa ile line nilivyo fatilia tigo headquarter wakaniambia kuwa mimi mwenyewe nilipiga simu ku block line yangu.
Aaaaaaa binadamu [emoji114]
Mambo ya pesa yanahitaji umakini sanamimi baba yangu ni mchagga na amiliki vitega uchumi lakini hamwamini mtoto hata mmoja kwenye shughuli zake anafanyaga mwenyewe na vijana wake. hilo lipo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda na wao walizipiga kwa baba zao so wanajuwa wakiweka watoto wao basi watapigwa piaDah ila wachaga kwenye pesa mko vizuri
Wazee Wengi sijui kwanini hawaamini vijana wao wanawaona bado ni watoto tu
Dah ila mbeleni huko nahisi Mzee wako atakujumuisha