Jifunze kutokuamini watu ili uepuke kuumizwa

Tatizo watu wana tamaa sana na kukosa uaminifu.
Mwanzo mtaenda vizuri ila inafika sehemu unakupiga tukio.
Hasa katika biashara huwezi kwepa kabisa
 
Sure, lakini mkuu watu wa Haki na kweli wapo na watu washenzi na ongo wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…