Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Aya gani nikasome. Asante kwa maandikoMchawi mmoja akakaa kiringeni kwenye kiti na kutamka,
Nakutuma Pepo mchafu, nenda kwa mtu yule( akamtaja jina),
Nenda jigeuze ewe Pepo uwe chuma, nenda kakae kwenye mguu wake, asiweze kutembea.
Mtu yule aliyetamkiwa maneno Yale, alikuwa amelala usingizi,
Alipoamka asubuhi, akajaribu kushusha mguu aende kujisaidia, hakuweza, mguu ulikakamaa, ukawa ngumu, haujikunji, maumivu alipata makali mno,
Hakujua kilichotokea alipolala, kumbe wabaya wakaweka chuma ndani ya mguu.
Semesha ugonjwa wowote wenye jina, utakusikia na kukutii kwa Jina la YESU.
Aamen
Sawa mkuu. Mi nakuelewa sana tu. Ibilisi ana uwezo wa kupandikiza magonjwa kwa watu.Wachawi wanapomlisha mtu nyama ya maiti akiwa usingizini,
Huu ni uharibifu ndani ya mwili, Mungu alikataa binadamu kuliwa nyama.
Tumbo lazima likatae kitu hii, ndipo uvimbe hutokea,
Na Katika macho ya mwili, doctors wataona cancer, na kupooza kutaendelea.
Suluhu hapa ni kusema na tumbo, sema na tumbo lifarakane na ugonjwa, sema nallo likatae huo ugonjwa,
Utaona mabadiliko, tamka, Tena na Tena kwa Imani.
Aamen
Another mwehu is loading........Kwanini mlimtishia Maxence Melo kuwa
Mtamnyamazisha na watz watasahau?
Mnajijua
Nenda kamuulize papa wenu mkuu wa mashoga kwa nini lazima aoongee kilatini na sio kiingereza watu wote waeleweMnajijua
Wazee wa kushushiwa qur an ya kiarabu
Akafu mnalazimisha ujumbe ufike na baadhi ya swala kwa kiarabu wakati kuna mataifa yenye lugha zao🤣🤣🤣
AKILI ZA WAISLAM BANA🚮
mbona waarabu ndio michezo yenu hii🤣Nenda kamuulize papa wenu mkuu wa mashoga kwa nini lazima aoongee kilatini na sio kiingereza watu wote waelewe
Huwa sibishani na vilazambona waarabu ndio michezo yenu hii🤣
Akina domo
Ukimwi una JINA,Mkuu mtu mwenye VVU anaweza kupona kwa maombi?
Umewahi kufuatilia nguvu Gani waganga wa kienyeji hutumia kuongizwa kuchuma madawa?Sawa mkuu. Mi nakuelewa sana tu. Ibilisi ana uwezo wa kupandikiza magonjwa kwa watu.
Ndo maana hata mtu ukienda hospitali, mwombee sana Daktari atayekutibu, ili upate tiba sahihi.
Pia, hata wanaogundua madawa, ile karama ya ugunduzi inatoka kwa roho mtakatifu. Kwahiyo, nguvu ya Mungu inatenda kazi
Zaburi 118:17.Aya gani nikasome. Asante kwa maandiko
Zaburi 107:20Aya gani nikasome. Asante kwa maandiko
Kumbe dawa zinazuia watu wasife sio.Wewe,hebu nenda hospital upate vipimo na kupewa dawa upone.
Haya pata maralia hapo jifungie ndani ukiikemea. Ukisubiria uponyaji.Kumbe dawa zinazuia watu wasife sio.
Dawa wanaotoa doctors, uponyaji hutoka kwa Mungu.
Ni sawa kwenda kwa doctor hospitali,
Ila dokta hana dawa kwa magonjwa yatokanayi na mapando ya mwovu ya kipepo.
SI Kila malaria ni malaria. Kwenda hospitali ni muhimu, kupata vipimo ni muhimu pia,Haya pata maralia hapo jifungie ndani ukiikemea. Ukisubiria uponyaji.
I'm a son of God.Wewe ni mlokole?