Jifunze kwa Ufupi Mashindano ya Pikipiki: MotoGP World Championship

Jifunze kwa Ufupi Mashindano ya Pikipiki: MotoGP World Championship

Unaitwa Motocross ule mkali. Nao upo chini ya FIM hawa hawa wanaoisimamia MotoGP.
View attachment 3117927
Mashindano yake makubwa yanaitwa FIM Motocross World Championship.
View attachment 3117932
Ila pia kuna types zake nyingine kama ATV motocross.
View attachment 3117929
Kuna Freestyle Motocross ambapo mnashindana kuonesha mbwembwe nk. View attachment 3117931
Kwa wapenzi wa Motor Cross na Freestyle, Dar mazoezi yanafanyika nyuma pale Tanganyika Packers kila jumapili mchana. Race track special ipo Misugusugu huwa wanaandaa Motorcross events.
 
Hahah wale jamaa wana majeraha mwili mzima kama bodaboda wetu tu.

Sema ile suti wanayovaa aisee iko advanced sana kwenye protection. Gharama yake zaidi ya $5,000 za zingine zina hadi airbags.

Lasttime mtu amekufa kwenye ajali MotoGP sijui ni 2011 ile.
Kuwalinganisha na hawa wa boxer ni matusi
Hawa jamaa 200km/hr ana dondoka anajifuta na kuinuka hapo hapo
 
Napenda sana kuangalia jinsi wanavyo peperusha pikipiki. Aiseee! Speed zile siyo kabisa, na bado mtu akianguka ananyanyuka fasta.
Namkumbuka sana Rose wa Italy, Ka bwana mdogo kaliijua sana kuicontrol pikipiki.
 
Boxer hapa na 60/hr ana kula mweleka ndio basi tena kila kitu kina badilika
IMG_0281.jpeg

Mfano hii 2022 nakumbuka Maquez ndugu yake Offshore Seamen oya alipaishwa ova bata ila alisimama sema
hakuendeea na race ila anatembea fresh kabisa.
 
View attachment 3118089
Mfano hii 2022 nakumbuka Maquez ndugu yake Offshore Seamen oya alipaishwa ova bata ila alisimama sema
hakuendeea na race ila anatembea fresh kabisa.
Huyu dogo ana kipaji kikubwa sana ila kuna muda ana utoto sana. Miaka ya nyuma alikuwa lazima awachomekee wenzake kwenye kona au akikaribia kumaliza lap anafanya mbwembwe
 
Hahahahaaa sahivi kakua hafu kakuta a na ushundani mkali sana wa Francesco
Utoto hawezi kuacha, siku mfatilie mwanzo mpaka mwisho kuna muda anaonyesha show off hata pasipotakiwa. Alipokuwa na Honda Repsol alikuwa na balaa sana.

Hata yule mwamba Quatararo siku hizi anakuwa nyuma itakuwa umri. Kwenye motogp kuna makabulu wa ki South wanacheza tangu miaka ya nyuma
 
Back
Top Bottom