Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,477
- 1,668
Mjini pale watu Wana vibweka na fujo sana. Siku hiyo Afisa usalama barabarani naye akiwashangaa tu.Hao wa kunyanyua tairi (wheelie boy) wao wanaita dede, wanakuwa convoy ya bike mbalimbali kuna wanaotumia bike sports na wengine bike za kawaida wamezifanyia mods.
Kila Jumapili walikuwa na ratiba ya kupita Tabata,Magomeni,kinondoni,msasani soko la samaki, wanaenda Kawe Tanganyika packers mpaka Mbezi kwa Zena
Kuna muhuni yeye usiku wa manane utasikia anaendesha gari imezibuliwa exhaust, chuma lina sauti mzito na sijui huwa anaendaga wapi yule jamaa, maana kila main road lazima apite.