Asas jamaa anajituma sana kwenye motorsport.Tanzania kuna vijana wanavipaji vya Motorcross, wamekosa udhamini wanaishia kutengeneza video za wasanii na matangazo. Mchezo huu Tanzania hauna sapoti kubwa View attachment 3118116View attachment 3118116
Hahaha jamani Fabio umri umeenda? Kazaliwa 98 sijui 99 yule!? Nadhani ni pikipiki maana 2021 alikua vizuri sana alivitoka mreplace Rossi nadhani alichukua World Champion.Utoto hawezi kuacha, siku mfatilie mwanzo mpaka mwisho kuna muda anaonyesha show off hata pasipotakiwa. Alipokuwa na Honda Repsol alikuwa na balaa sana.
Hata yule mwamba Quatararo siku hizi anakuwa nyuma itakuwa umri. Kwenye motogp kuna makabulu wa ki South wanacheza tangu miaka ya nyuma
Wapanda Pikipiki hao 😂😂😂Zaidi mashindano haya yapo katika daraja tatu
Wapanda pikipiki hao wengi wao huanzia katika stage/daraja la 125 na kupanda hadi kufikia daraja la MotoGP.
- 125cc
- 250cc
- 1000cc(MotoGP)
Uwiiiih 366km/h hata ukigawia mbili bado sijawahi ifikia na ki'baiskeli' changu toka HONDA😄😄😄🤣na hadi leo top speech iliowahi kuonekana kwenye race ni 366 km/h.
Waga ni utamu sana kuwacheki, hasa wakiwapiga slo-mo aaaah hadi nywele zinasimamakwenye kona wanalala hivi, inayowasaidia kukata kali saaana wakiwa katika speed kali, sometimes utaona magoti yanagusa chini.
Exactly.MotoGP ni more exciting kuangalia sana sometimes naonaga kuliko F1 sema marketing yake haifikii F1.
Hawa wahuni kuna siku walipita pale university corner kuelekea Mwenge, yaani kuanzia pale Mataa hadi kufika usawa wa ile pacha ya Chuo kikuu walikuwa wanatembea na tairi moja huku la mbele wakiwa wameinua, halafu walikuwa speed balaa, Baja zilikuwa na sauti mzito kuteka attention ya kila mtu kuwatazama. Sijui waliishia wapi maana hadi wanapotea machoni bado walikuwa wanatembelea tairi moja.Wale wanaocheza Pro wanafanya kila mbwembwe mkuu, ukipata muda kamtizame akiwa anacheza Masoud, Juma, Babu Eddy. Beginners na Intermediate wapo wengi hao ndio wanacheza bila mbwembwe
Jamaa wanavaaga vizuri, wana mavazi maalumu na safety standard nzito nzito.Kati ya mbio za vyombo vya moto napenda kuangalia ni hii
Ila bado nashangaaga sana mtu ana dondoka na pkpk anainuka nduki hata kuvunjika hamna tech iliyo tumika hapo ni 🔥🔥🔥🔥
Enduro I guessKuna ule mchezo mwingine wa kurusha/kuruka na pikipiki kwenye mabonde na vilima. Wanatumia sana zile pikipiki za XL. Unaitwaje ule mchezo?.
Hahaha hawa kwenye kona wako slow kuliko F1 ila kwenye straights bike zipo fast.Uwiiiih 366km/h hata ukigawia mbili bado sijawahi ifikia na ki'baiskeli' changu toka HONDA😄😄😄🤣
Waga ni utamu sana kuwacheki, hasa wakiwapiga slo-mo aaaah hadi nywele zinasimama
Exactly.
Sure thing, sema nn, starehe huwa zinabamba zaidi watu wakiwa na hela la sivyo wanakosa muda wa kuappreciate michezo na sanaa wanatingwaTanzania kuna vijana wanavipaji vya Motorcross, wamekosa udhamini wanaishia kutengeneza video za wasanii na matangazo. Mchezo huu Tanzania hauna sapoti kubwa
Noma sana inasisimuaHahaha hawa kwenye kona wako slow kuliko F1 ila kwenye straights bike zipo fast.
Brake discs zake zinafikaga hadi 150 degrees joto. Oya zile boda shikamoo
Halfu za kwao zinajazwa upepo tofauti na safety gear za kawaida,,, pia najiuliza wanapokata kona wanagusisha goti chini huwa ni style ya aina yake,, sijui wanavalisha nini kwenye gotiHahah wale jamaa wana majeraha mwili mzima kama bodaboda wetu tu.
Sema ile suti wanayovaa aisee iko advanced sana kwenye protection. Gharama yake zaidi ya $5,000 za zingine zina hadi airbags.
Lasttime mtu amekufa kwenye ajali MotoGP sijui ni 2011 ile.
Huwa mara kwa mara anadhamini mashindano,pamoja na Azam TvAsas jamaa anajituma sana kwenye motorsport.
Hao wa kunyanyua tairi (wheelie boy) wao wanaita dede, wanakuwa convoy ya bike mbalimbali kuna wanaotumia bike sports na wengine bike za kawaida wamezifanyia mods.Hawa wahuni kuna siku walipita pale university corner kuelekea Mwenge, yaani kuanzia pale Mataa hadi kufika usawa wa ile pacha ya Chuo kikuu walikuwa wanatembea na tairi moja huku la mbele wakiwa wameinua, halafu walikuwa speed balaa, Baja zilikuwa na sauti mzito kuteka attention ya kila mtu kuwatazama. Sijui waliishia wapi maana hadi wanapotea machoni bado walikuwa wanatembelea tairi moja.
NB: kipindi hiko, flyover ilikuwa haijajengwa.
Wapo wanaoshiriki private, ila ni gharama sana. Hizo bike kwa vijana wa Bongo ni ghari kumiliki. Wengi wanacheza na bike za kuazima au kushare.Shida mtu private kushiriki imagine gharama za maandalizi.
Labda sikubahatika kuwaona hao pro mkuuWale wanaocheza Pro wanafanya kila mbwembwe mkuu, ukipata muda kamtizame akiwa anacheza Masoud, Juma, Babu Eddy. Beginners na Intermediate wapo wengi hao ndio wanacheza bila mbwembwe