Jifunze mapishi na namna mbalimbali za kupika mkate

Jifunze mapishi na namna mbalimbali za kupika mkate

LOL!!! hahahahahaha ukiota mihogo ya kukaanga usijimwagie tu mafuta ya moto mguuni wakati unaikaanga maana unaweza kutoa ukelele wa kutisha kumbe ni ndoto tu.

Hahahahaha naota kula sio kupika lol....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Binti khaloo umetufikisha mbali WaSwahili tumefika mbali kwa mapishi yako" nasie tumo katika Maakulati ya kisasa "Bravo Farkhy... Mamillioni ya Ahsante na Mamillioni ya hongera.
 
Mahitaji
Mchele kikombe 1
Hiliki kiasi
Sukari 1/2-3/4
Yai 1
Tui la nazi vikombe 2
Hamira kijiko cha chai kimoja

Namna ya kutaarisha

1)Osha mchele na roweka hadi uwe laini kiasi.
2)weka mchele,hiliki,yai,hamira na tui la nazi kwenye blenda....saga hadi viwe laini
3)mimina kwenye bakuli...subiria uumuke

Namna ya kupika

1)weka chuma cha kuchomea(usitie mafuta) katika jiko moto kiasi... kikipata moto chota upawa mmoja wa mchanganyiko wako na mimina kwenye chuma chako...zungusha ili utandazike
2)funika na ufunikio juu..ukiona mkate wafanya vitundu tundu toa na weka pembeni.
3)fanya hivo hadi umalizie zilobaki

Mkate wa chila tayari kwa kuliwa
 
Attachments

  • 1385577435310.jpg
    1385577435310.jpg
    22.8 KB · Views: 372
  • 1385577448007.jpg
    1385577448007.jpg
    16 KB · Views: 453
Mahitaji
Mchele kikombe 1
Hiliki kiasi
Sukari 1/2-3/4
Yai 1
Tui la nazi vikombe 2
Hamira kijiko cha chai kimoja

Namna ya kutaarisha

1)Osha mchele na roweka hadi uwe laini kiasi.
2)weka mchele,hiliki,yai,hamira na tui la nazi kwenye blenda....saga hadi viwe laini
3)mimina kwenye bakuli...subiria uumuke

Namna ya kupika

1)weka chuma cha kuchomea(usitie mafuta) katika jiko moto kiasi... kikipata moto chota upawa mmoja wa mchanganyiko wako na mimina kwenye chuma chako...zungusha ili utandazike
2)funika na ufunikio juu..ukiona mkate wafanya vitundu tundu toa na weka pembeni.
3)fanya hivo hadi umalizie zilobaki

Mkate wa chila tayari kwa kuliwa

Acha kututamanisha nikikwambia ninakuja hutaki kunifungulia mlango wa nyumba yako unasema kuna mbwa mkali farkhina
 
unanichanganya uko kama mkate wa kumimina hapohapo ni flat kama pancake nitajaribu nione so hutii mafuta kabisa
 
Mahitaji
Mchele kikombe 1
Hiliki kiasi
Sukari 1/2-3/4
Yai 1
Tui la nazi vikombe 2
Hamira kijiko cha chai kimoja

Namna ya kutaarisha

1)Osha mchele na roweka hadi uwe laini kiasi.
2)weka mchele,hiliki,yai,hamira na tui la nazi kwenye blenda....saga hadi viwe laini
3)mimina kwenye bakuli...subiria uumuke

Namna ya kupika

1)weka chuma cha kuchomea(usitie mafuta) katika jiko moto kiasi... kikipata moto chota upawa mmoja wa mchanganyiko wako na mimina kwenye chuma chako...zungusha ili utandazike
2)funika na ufunikio juu..ukiona mkate wafanya vitundu tundu toa na weka pembeni.
3)fanya hivo hadi umalizie zilobaki

Mkate wa chila tayari kwa kuliwa

Vibibi type !
 
Back
Top Bottom