Jifunze mapishi na namna mbalimbali za kupika mkate

Jifunze mapishi na namna mbalimbali za kupika mkate

Yaaani


Hivi ulikuwaga wapi siku zote

Huku kitchen ni bandika bandua
 
Mahitaji
1)Tambi 500g
2) maji 3-4cups
3)sukari 1 cup
4)1/4 hiliki iliyotwangwa
5)tui la nazi 1 cup
6)samli 1 tablespoon.
7)Arki ya rose au flavor yoyote unayopendelea

Namna ya kutaarisha

1)changanya maji,sukari,hiliki na tui la nazi kwenye sufuria
2)weka kwenye moto mdogo mdogo hadi vichemke
3)vunja vunja tambi na uweke
4)pika hadi tui la nazi likauke
5)pakaza samli juu yake
6)washa oven 300°-350° then oka mkae wako....hakikisha unawiva vizuri...

7)mkate wa tambi tayari kwa kuliwa...

Really unatupendelea, chai yenye mvuto inahusika sana. Hongera sana
 
Haya subiri niingie jikoni nkakupikie....ndio kubembeleza kwenyewe mwanangu asije kukataliwa buree...
Mashallah kweli nimepata shost..mpaka raha meno 32 nje :becky: apa nakaangiwa samaki spesho for meeee...wacha nijivunge mieee!!!
 
hi! nina swali moja if yo dnt mind.! badala ya maji naweza weka maziwa ?xoz napendeleaga sana mkate hukiwa na maziwa.asante
 
Back
Top Bottom