Jifunze mapishi na namna mbalimbali za kupika mkate

Nlikwenda Quebec kikazi sasa nipo njiani ninakuja huko kwako Toronto baada ya saa moja nitakugongea mlango uniwekee usimalize tu maana leo una wageni wengi ninajuwa.

Nitakula kwa mkono sio kwa macho bibie hujambo lakini?

Hata ukifika utakuta naosha vyombo tena mahanjumati margea...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
kuna ntaharamu yoyote humu anajuwa pika pizza ya kitimoto?anipe maelekezo
 
Dadaa samahani naomba kuuliza kama hauna hiyo ARKI je waweza tumia nini kingine au je bila iyo mkate hupoteza radha au hutoka vibaya? nataka niujaribu ila hiyo kitu ni ngumu kupatikna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…