Jifunze mapishi na namna mbalimbali za kupika mkate

Jifunze mapishi na namna mbalimbali za kupika mkate

Nlikwenda Quebec kikazi sasa nipo njiani ninakuja huko kwako Toronto baada ya saa moja nitakugongea mlango uniwekee usimalize tu maana leo una wageni wengi ninajuwa.

Nitakula kwa mkono sio kwa macho bibie hujambo lakini?

Hata ukifika utakuta naosha vyombo tena mahanjumati margea...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
20131129_192411.jpg20131129_192041.jpgnimeutoa mkate wa tambi mpendwa.....lkn picha imepinduka mwe....
 
Dadaa samahani naomba kuuliza kama hauna hiyo ARKI je waweza tumia nini kingine au je bila iyo mkate hupoteza radha au hutoka vibaya? nataka niujaribu ila hiyo kitu ni ngumu kupatikna
 
Back
Top Bottom