Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Kaka naomba na mm muongozo nahitaji kuagiza kitu kupitia ali baba my namba ni 0712262322
 
Mkuu nilikuwa nahitaji kununua mashine fulani kutoka alibaba....but naona kama nimekwama kwenye suala la usafirishaji maana kwenye calculation zao za kwenye mtandao inaonekana kama vile inakuwa bei ya mashine ni cheap kuliko ya usafirishaji coz mashine yenyewe ni kama $650 but wakifanya calculation za usafirishaji inaonekana kama vile transportation itacost kama $1300. Naomba nijuze hapa kwenye usafirishaji huwa mnatumia utaratibu gani. Nawakilisha mkuu
 
Kuna issue inanitatiza!
Ukitaka kutumiwa mzigo wako ulionunua mfano duka la Marekani,ni lazima mzigo upitie Forward company then courier yeyote mf. Myus..Lakin nimejaribu kupitia baadhi ya suppliers wa Alibaba group nimeona hawana forward companies,wenyewe wanasema wanashipp bidhaa kwa kupitia courier mf. Fedex,DHL au EMS.

Je,hapa ni mim tu ni mbumbumbu au kunakitu sijakielewa..
Kwa wenye exposure,msaada tafadhali!!!
 

unataka kuagiza mzigo wa aina gani na maybe ni wa ukubwa gani!?!?
 
Ukitaka kutumiwa mzigo wako ulionunua mfano duka la Marekani,ni lazima mzigo upitie Forward company then courier yeyote mf. Myus..
#1. Sio lazima, waweza kutumwa moja kwa moja.
Lakin nimejaribu kupitia baadhi ya suppliers wa Alibaba group nimeona hawana forward companies,wenyewe wanasema wanashipp bidhaa kwa kupitia courier
#2. Wauzaji alibaba hutuma moja kwa moja Tanzani (africa). Kwa kutumia shipping agent tajwa hapo juu

Angalizo:
- Kwa kuwa mzigo wako ni mkubwa 25kg. shipping cost ni kubwa iwapo utatumia courier agent tajwa hapo juu
- Omba seller atume mzigo kwa njia ya Posta.
- Sabau [1] Utaokoa kiasi kikubwa cha fedha, [2] Hiyo fedha utakayo okoa sehemu yake utatumia kulipia ushuru
 
Nimekupa vizur sana,asante sana mdau!
 
Check me 0766530478 kama hutojali Kuna vitu ningependa kujua zaid
 
Kuna watu wanaosafirisha kwa gharama ndogo sana, achana na huyo, mwambie utalipia tu hiyo 650$ then kuna mtu atampelekea machine na tutakuletea mpaka home kwa si zaidi ya $500 inategemea na ukubwa wake. Nipe details za kutosha.
 
mi nimemwelewa huyo muuzaji..

itakuwa amekupa gharama ya express.. yaani airfreight... mara nyingi ni kubwa kuliko bei ya mashine..

mwambie akupe sea freight bei gani? kusafirisha kwa meli ni nafuu sana.

na pia lazima ujue ukubwa wa hiyo mashine.. ujazo wake

 
Ko ndgu ipi ni best amng the above
 
Salaam wadau nilikua nauliza kama kuna njia ya kushop online shop za UAE kama SOUQ....
 
Guys kwenye kufungua account ebay,amazon nakuendelea sehemu ya postal code unajaza nini ? naombeni msaada.
 
Guys nmecheki kwenye shipping calculator kwa baadhi ya sites zilizotajwa hapo juu ni gharama sana kuship even a package ya 0.5 kg, mfano Comgateway gharama ya kuship 0.5kg ni around 77 USD
 
Umenifungua macho nilokuwa natumia njia ndefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…