Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
wakala atakupigia simuHv hua kuna kupigiwa simu kuwa mzigo umefika nkachukue.?
wakala atakupigia simuHv hua kuna kupigiwa simu kuwa mzigo umefika nkachukue.?
Mwl.CRT nisaidie kufaham ghalamaJust found this amazing item on AliExpress. Check it out! TZS27,583.06 15%OFF | 10PCS/LOT TPA3116D2DADR TPA3116 TPA3116D2 TPA3116D2DAD HTSSOP-32 100% New Spot stock
![]()
10 teile/los tpa3116d2dadr tpa3116 tpa3116d2 tpa3116d2dad HTSSOP-32 100% neuer Spot bestand - AliExpress 502
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.coma.aliexpress.com
Noted. Futa hiyo namba yako sasaNaomba unitafute
Karibu, Kwa swala zima la knowledge wala hujachelewa.subscribed, though late
No, sir let me click on it!Karibu, Kwa swala zima la knowledge wala hujachelewa.
Je umeshaiona hii thread nyingine: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Amazon wanaship Tanzania kama una hela ya FedEx,Oya naoda vipi vitu huko amazon mpaka vifike bongo
Hela ya fedex ndio vipi hapo? Mzigo unafika mpaka ghetoni kwangu?Amazon wanaship Tanzania kama una hela ya FedEx,
Alternative tumia forwarding service kama Shop and ship ama kampuni mbalimbali zinazokupa adress ya Marekani na kukuletea Tanzania
Mtaalam hivi inawezekana kuagiza product ya kama kilo 500 na zaidi ikakufikia?Amazon wanaship Tanzania kama una hela ya FedEx,
Alternative tumia forwarding service kama Shop and ship ama kampuni mbalimbali zinazokupa adress ya Marekani na kukuletea Tanzania
Unapigwa. Nshawahi kusikia kesi yako.Mtaalam hivi inawezekana kuagiza product ya kama kilo 500 na zaidi ikakufikia?
J
Maana kuna mashine nimeilipia leo alexpress, seller akasema product ni kubwa kuwa shipped Tanzania, akashauri nikancel nirudishiwe hela yangu.
Hapa nasubri refund nianze moja
Ndio sema kwa bei reasonable ije na meli, ukitoa uzito urefu na upana wa package unajua?Mtaalam hivi inawezekana kuagiza product ya kama kilo 500 na zaidi ikakufikia?
Maana kuna mashine nimeilipia leo alexpress, seller akasema product ni kubwa kuwa shipped Tanzania, akashauri nikancel nirudishiwe hela yangu.
Hapa nasubri refund nianze moja
Nipe kazi.Mtaalam hivi inawezekana kuagiza product ya kama kilo 500 na zaidi ikakufikia?
Maana kuna mashine nimeilipia leo alexpress, seller akasema product ni kubwa kuwa shipped Tanzania, akashauri nikancel nirudishiwe hela yangu.
Tatizo liko kwenye njia uliyotumia kufanya muamala.Anaenipiga ni yupi, Aliexpress au muuzaji. Maana hela anaerefund ni aliexpress, haijaenda kwa seller