Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Kuna bidhaa nahitaji kuiagiza, kimashine kidogo kwa matumizi ya nyumbani, shida niliyo nayo ni kuto elewa jumla ya gharama yake mpaka kinanifikia mkononi! Maana calculator ya TRA ina taka magari tu!

Je napataje gharama halisi ya hiyo bidhaa mpaka kunifikia!
Ingia www.ccm.or.tz utapata kila kitu
 
shida niliyo nayo ni kuto elewa jumla ya gharama yake mpaka kinanifikia mkononi!
Gharama za TRA hadi mzigo husika ufike nchini. Kwa kutumia invoice value watakupa gharama za kodi za kulipia.

Ila iwapo unahitaji kujua makadilio, Ingia hapa na angalia mfano wa hesabu jinsi inavyofanyika| Kukatwa kodi kwa mizigo | Post namba #4
 
Hapa mzee nimeelewa vizuri sana! Nimechukua zile hisabati kama case study ngoja nifanye hii ya kwangu nione approximation zitakaaje
 
Gharama za TRA hadi mzigo husika ufike nchini. Kwa kutumia invoice value watakupa gharama za kodi za kulipia.

Ila iwapo unahitaji kujua makadilio, Ingia hapa na angalia mfano wa hesabu jinsi inavyofanyika| Kukatwa kodi kwa mizigo | Post namba #4
Haya manunuzi ya mtandaoni nimekua nikitumia kwa sites za hapahapa tz kama jiji, zoom, kupatana na wenzie na mambo yanaenda, tena kuna wengine hulipi chochote mpaka mtu wa delivary afike na mzigo ndio mna malizana

Sasa hii machine ninayotaka kuiagiza sina imani kabisa na ku deposite kwa mtu zaidi ya million moja na huku mtu mwenyewe si mjui na hata baada ya hapo nitampata vipi, na ningeweza kuinunua hapa iyo mashine ila bahati mbaya hapa kwetu hakuna hizo machine na walizo nazo niwachache sana tena wameagiza.
Je! Ni agents gani ambao ninaweza kuwapatia maelezo ya ninachotaka na gharama wakaniagizia hicho kifaa, wakafanya procedure zooote mpaka mwisho, maana wao wana experience na hao wauzaji kitu ambacho mimi sina.
 
Sasa hii machine ninayotaka kuiagiza sina imani kabisa na ku deposite kwa mtu zaidi ya million moja na huku mtu mwenyewe si mjui na hata baada ya hapo nitampata vipi,
- Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
=
Je umepitia huu uzi? Angalia reviews post ya kwanza. Iwapo huna hakika na unachotaka kufanya waweza kunipa kazi.
Je! Ni agents gani ambao ninaweza kuwapatia maelezo ya ninachotaka na gharama wakaniagizia hicho kifaa, wakafanya procedure zooote mpaka mwisho
Nafanya hiyo kazi, Pitia thread yangu
 
Kuna bidhaa nahitaji kuiagiza, kimashine kidogo kwa matumizi ya nyumbani, shida niliyo nayo ni kuto elewa jumla ya gharama yake mpaka kinanifikia mkononi! Maana calculator ya TRA ina taka magari tu!

Je napataje gharama halisi ya hiyo bidhaa mpaka kunifikia!
Angalia Amazon wako user friendly sababu unawekewa pamoja na bei ya mpaka Kodi.
 
Kuna bidhaa nahitaji kuiagiza, kimashine kidogo kwa matumizi ya nyumbani, shida niliyo nayo ni kuto elewa jumla ya gharama yake mpaka kinanifikia mkononi! Maana calculator ya TRA ina taka magari tu!

Je napataje gharama halisi ya hiyo bidhaa mpaka kunifikia!
Cheki hapo
_20230405_084042.JPG
 
Habari wakuu.

Naomba muongozo wa kununua vitu Alibaba. Pia kingine kinanichanganya ni pale shipping inakua very expensive compared na bei ya bidhaa, pia hapo naomba msaada wa kupata cheaper shipping agent.
 
Unaongea nao kama wanaweza kukutumia huku Tanganyika.
Kama hawatumi ,tafuta agent aliyepo huko China then wao watamtumia atakuletea huku.
Mimi nilitumia Sifex cargo( wacheck Instagram)
Wao wanacharge 11.5 USD kwa kilo.
Ndani ya wiki mzigo unaupata
 
Wewe hunakazi ya kutafuta shipping agent, muuzaji ndie atafanya.

Nunua product zenye free shipping
 
Unaongea nao kama wanaweza kukutumia huku Tanganyika.
Kama hawatumi ,tafuta agent aliyepo huko China then wao watamtumia atakuletea huku.
Mimi nilitumia Sifex cargo( wacheck Instagram)
Wao wanacharge 11.5 USD kwa kilo.
Ndani ya wiki mzigo unaupata
Naona pale wanalist maashiping agent ambao siwajui.. kuna namna ya kuwaweka unaowataka?
 
Back
Top Bottom