Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Habari wakuu. Naomba muongozo wa kununua vitu alibaba. Pia kingine kinanichanganya ni pale shipping inakua very expensive compared na bei ya bidhaa.. pia hapo naomba msaada wa kupata cheaper shipping agent.
Karibu FAGO EXPRESS tunakuagizia mizigo / bidhaa zako ndani ya siku 3-5 umeipata tupo kariakoo krb na kituo cha polisi msimbazi B Whatsapp+255765018958
 
Habari wakuu. Naomba muongozo wa kununua vitu alibaba. Pia kingine kinanichanganya ni pale shipping inakua very expensive compared na bei ya bidhaa.. pia hapo naomba msaada wa kupata cheaper shipping agent.
Kanunue kwa watchina Kariakoo. Hakuna utakachokosa kutoka kwa mchina. Wewe mpelekee picha atakuletea
 
Hv hizi bidhaa zinazouzwa kupitia Amazon na wengineo ni halisi.?

Mfano umeona simu ni Samsung ukaiagiza Je itakuja hy hy uliyoagiza ikiwa na specifications halisi au ndo utaletewa Tecno yenye nembo ya Samsung.?
 
Wakuu, kuna external nataka kununua kupitia aliexpres ila hapo kwenye kuweka namba ya benki inakataa, tatizo ni lipi hapo.?
Screenshot_20231019-161029.png
 
Wakuu, kwa mara ya kwanza leo nmeagiza bidhaa kupitia kikuu.
30k yangu naiskilizia kama nimepigwa au bidhaa yangu ntaipata baada ya muda walionipa
 
Hv hizi bidhaa zinazouzwa kupitia Amazon na wengineo ni halisi.?

Mfano umeona simu ni Samsung ukaiagiza Je itakuja hy hy uliyoagiza ikiwa na specifications halisi au ndo utaletewa Tecno yenye nembo ya Samsung.?
Inabidi uagize iliupate majibu kila mtu akibaki kuliza mwezie itakua ngumu kujua.
 
Wakuu, nmeagiza bidhaa kupitia kikuu sasa ntajuaje kuwa mzigo wangu umeshafika hvy natakiwa kwenda kuuchukua

Screenshot_20231030-070654.png
 
Back
Top Bottom