Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Nimekutana na changamoto eBay seller wengi hawana huduma ya delivery wao wanataka collection only hii inaninyima fursa sana

Wataalam mnafanyaje hili?
 
Mzigo utafika tu mapema ndani ya wiki mbili au tatu za siku za kazi.
Hizo siku 75 ni maximum days ambazo wameweka wakiamini kwamba kwa mda huo mzigo utakuwa umefika.
Mkuu kwema unauzoefu wa kuagiza eBay? Nimekutana na maneno collection only, local pickup and personal collection sijaelewa kabisa
 
Hivi pale kwenye eBay ukiwa haujaza adress ila postcode na vingine umejaza mzigo ukifika Tanzania utaratibu wa kuupta inakuwaje maana haukuweka adress zaida vingine vile kwa maana ya postcode na city
 
Hivi pale kwenye eBay ukiwa haujaza adress ila postcode na vingine umejaza mzigo ukifika Tanzania utaratibu wa kuupta inakuwaje maana haukuweka adress zaida vingine vile kwa maana ya postcode na city
Itakuwa ngumu kujua mzigo uende wapi? Ila cha kufanya hapo ni ku-utrack mpaka unapoingia Tanzania halafu hapo ndio utaongea na Posta ili wauelekeze kwako ulipo, utalipia gharama ya shipping, maana kama uliweka post code tu assumption ni kuwa mzigo unaishia Dar es Salaam
 
Na shida kubwa ni sina sanduku la posta mkuu ndo maana nikauliza hivoo ila naona posta now wana posta kiganjani sijui kwa muelewa imekaaje hii
 
Na shida kubwa ni sina sanduku la posta mkuu ndo maana nikauliza hivoo ila naona posta now wana posta kiganjani sijui kwa muelewa imekaaje hii
Huna sanduku la posta, tumia anuani yoyote ya umma ya posta, mfano, box la posta la halmashauri, shule ya sekondari, chuo kikuu kilicho karibu nawe nk, maana mzigo ni lazima ukachukulie posta, ila kwenye hilo boksi la posta watakuwekea tu kikaratasi chenye gharama za kulipia, ambapo sio lazima ukichukue maana kopo huwa inabaki posta kwa hiyo ukienda na kitambulisho chako wanaweza kukusainisha kupitia hiyo kopi. Kuhusu posta kiganjani sina utaalamu nayo, ngoja watuhabarishe.
 
Shukrani mkuu
 
Asante sana kwa kunijuza na kunifunza jambo hili maana sikuwa nafahamu chochote.
 
deal matata, kwa watu matata

<a target="_blank" href="Amazon Deal: Apple iPhones, Watches and iMacs">Apple iPhones Watches and iMacs</a>
1670945097339.png

=
Karibu nikuhudumie kwa masoko yote ya USA, UK, Germany, na kwingineko | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa | Ingia kwenye hiyo thread
 
  • Nimetumia huduma za kampuni zote mbili
  • Nilianza na myus mwezi March na comgateway mwezi July [ screen shot zinajieleza ]
# Kitu ambacho sikupenda upande wa myus ni kuwa hawana option ya kufanya malipo kwa njia ya Paypal, Makato yao huwa ni automatic toka kwenye kadi yako.
# Kama account yako haina fedha na huna mpango wa kuitumia tena waweza kuwaliza - Nadhani hiki ndicho kimekuvutia zaidi

> Hilo ni kweli iwapo account yako hana kiasi cha fedha cha kutosha, ila ukiweka tu fedha wanachukuwa chao - Kama lengo ni kupata huduma bila ya kulipia basi kwa point hii myus inakufaa
# Kitu nilichopenda upande wa comgateway.
  • Waweza tumia Paypal kufanya malipo
  • Kwangu mimi - hupendelea kufanya malipo kwa paypal na si kwa kutumia kadi, Huwa naamini niko salama zaidi
  • Mteja uamuzi ni wako ni wakati gani ufanye malipo ili mzigo wako utumwe
  • Cost yao kidogo ni nafuu ukilinganisha na myus.
vs1.png

VS
vs2.png

Mwl habari naomba nikfate PM TAFADHALI KMA HUTOJALI
 
Back
Top Bottom