Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzigo utafika tu mapema ndani ya wiki mbili au tatu za siku za kazi.Kwa mara ya kwanza ndio kwanza nimefanikiwa ku order juzi..
Order ndio hiyo itachukua siku 75,ni mda mrefu View attachment 2185892
Mkuu kwema unauzoefu wa kuagiza eBay? Nimekutana na maneno collection only, local pickup and personal collection sijaelewa kabisaMzigo utafika tu mapema ndani ya wiki mbili au tatu za siku za kazi.
Hizo siku 75 ni maximum days ambazo wameweka wakiamini kwamba kwa mda huo mzigo utakuwa umefika.
Itakuwa ngumu kujua mzigo uende wapi? Ila cha kufanya hapo ni ku-utrack mpaka unapoingia Tanzania halafu hapo ndio utaongea na Posta ili wauelekeze kwako ulipo, utalipia gharama ya shipping, maana kama uliweka post code tu assumption ni kuwa mzigo unaishia Dar es SalaamHivi pale kwenye eBay ukiwa haujaza adress ila postcode na vingine umejaza mzigo ukifika Tanzania utaratibu wa kuupta inakuwaje maana haukuweka adress zaida vingine vile kwa maana ya postcode na city
Na shida kubwa ni sina sanduku la posta mkuu ndo maana nikauliza hivoo ila naona posta now wana posta kiganjani sijui kwa muelewa imekaaje hiiItakuwa ngumu kujua mzigo uende wapi? Ila cha kufanya hapo ni ku-utrack mpaka unapoingia Tanzania halafu hapo ndio utaongea na Posta ili wauelekeze kwako ulipo, utalipia gharama ya shipping, maana kama uliweka post code tu assumption ni kuwa mzigo unaishia Dar es Salaam
Huna sanduku la posta, tumia anuani yoyote ya umma ya posta, mfano, box la posta la halmashauri, shule ya sekondari, chuo kikuu kilicho karibu nawe nk, maana mzigo ni lazima ukachukulie posta, ila kwenye hilo boksi la posta watakuwekea tu kikaratasi chenye gharama za kulipia, ambapo sio lazima ukichukue maana kopo huwa inabaki posta kwa hiyo ukienda na kitambulisho chako wanaweza kukusainisha kupitia hiyo kopi. Kuhusu posta kiganjani sina utaalamu nayo, ngoja watuhabarishe.Na shida kubwa ni sina sanduku la posta mkuu ndo maana nikauliza hivoo ila naona posta now wana posta kiganjani sijui kwa muelewa imekaaje hii
Shukrani mkuuHuna sanduku la posta, tumia anuani yoyote ya umma ya posta, mfano, box la posta la halmashauri, shule ya sekondari, chuo kikuu kilicho karibu nawe nk, maana mzigo ni lazima ukachukulie posta, ila kwenye hilo boksi la posta watakuwekea tu kikaratasi chenye gharama za kulipia, ambapo sio lazima ukichukue maana kopo huwa inabaki posta kwa hiyo ukienda na kitambulisho chako wanaweza kukusainisha kupitia hiyo kopi. Kuhusu posta kiganjani sina utaalamu nayo, ngoja watuhabarishe.
deal matata, kwa watu matata
<a target="_blank" href="Amazon Deal: Apple iPhones, Watches and iMacs">Apple iPhones Watches and iMacs</a>
Ndio uzuri wa JF.Asante sana kwa kunijuza na kunifunza jambo hili maana sikuwa nafahamu chochote.
ubarikiwe na Bwana; somo matataNdio uzuri wa JF.
Unapata elimu ambayo hata chuo kikuu haipatikani.
Mkuu kuna Bidhaa nimebid ila muuzaji hana huduma ya delivery office yako inaweza kunisaidia?View attachment 2445434
=
Karibu nikuhudumie kwa masoko yote ya USA, UK, Germany, na kwingineko | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa | Ingia kwenye hiyo thread
Sahihi kabisa, naweza kukusaidia, Njoo inbox.Mkuu kuna Bidhaa nimebid ila muuzaji hana huduma ya delivery office yako inaweza kunisaidia?
Mwl habari naomba nikfate PM TAFADHALI KMA HUTOJALI# Kitu ambacho sikupenda upande wa myus ni kuwa hawana option ya kufanya malipo kwa njia ya Paypal, Makato yao huwa ni automatic toka kwenye kadi yako.
- Nimetumia huduma za kampuni zote mbili
- Nilianza na myus mwezi March na comgateway mwezi July [ screen shot zinajieleza ]
# Kama account yako haina fedha na huna mpango wa kuitumia tena waweza kuwaliza - Nadhani hiki ndicho kimekuvutia zaidi
# Kitu nilichopenda upande wa comgateway.> Hilo ni kweli iwapo account yako hana kiasi cha fedha cha kutosha, ila ukiweka tu fedha wanachukuwa chao - Kama lengo ni kupata huduma bila ya kulipia basi kwa point hii myus inakufaa
- Waweza tumia Paypal kufanya malipo
- Kwangu mimi - hupendelea kufanya malipo kwa paypal na si kwa kutumia kadi, Huwa naamini niko salama zaidi
- Mteja uamuzi ni wako ni wakati gani ufanye malipo ili mzigo wako utumwe
- Cost yao kidogo ni nafuu ukilinganisha na myus.
![]()
VS
![]()
PM iko wazi | Mawasilino mbadala yako post ya kwanza hapa | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasaMwl habari naomba nikfate PM TAFADHALI KMA HUTOJALI
Habari Mkuu Nikihitaji Huduma za Google Lakini Katika Visa Card Wanataka Cvc Badala ya CVV Sasa Mimi Natumia M'pesa Visa Card Yenyewe Ni CVV tu Je Nifanyeje Kupata Cvc ya Mpesa visa card?PM iko wazi | Mawasilino mbadala yako post ya kwanza hapa | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
=
Karibu