Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Kwa mara ya kwanza ndio kwanza nimefanikiwa ku order juzi..

Order ndio hiyo itachukua siku 75,ni mda mrefu
Screenshot_20220413-102145_AliExpress.jpg
 
Ndio utanifikia.
Habari Naomba msaada wako mimi nimeagiza mara mbili, mzigo unaonekana umefika Country of destination ila sasa haunifikii nimetumia namba ya simu ya physical adress sikuweka sanduku la barua. Nafanyeje?
 
naomba iwe bahati mzuri uwe mtu mzuri ambaye siyo tapeli. mkuu, ukiwa mwaminifu na jina lako la uaminifu likawa kubwa hapa jf kama lilivyo la MWL.RCT, amini nakwambia utapiga pesa mpaka uzichoke, wanaohitaji kununua bidhaa kenya tuko wengi sana, kenya shipping method yake ni cheap kuliko amazon, ebay na aliexpress
Huyo Mwl.RCT pia nae ni tapeli, kamtapeli ndugu yangu.
 
Naomaba kujua kama unafahamiana physically yan kwa kuonana na au kutembeleana na chief Mkwawa. Yani anakujua hata unapoishi.
 
Back
Top Bottom