Anigrain
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 1,680
- 4,204
Mkuu umeanza vizuri ila mbele umeharibu, Issue sio kupenda Sana vya bei rahisi maana Kila mtu anapenda bei rahisi iwe ameridhika tu na hayo mazingira ya bei rahisi, labda inategemea wewe una define vipi neno bei rahisiInshort bila kukupotezea mda Wew wala Wana jf Hao nimatapeli ukituma tu hela umeliwa kichwa and by the way usipende Sana vitu vya bei rahisi utalia na kusaga meno...
Issue ni ku afford kile unachoweza, kwahiyo unataka kumaanisha wanaoishi Zanzibar Kwakuwa kwao vitu ni bei rahisi waache kununua waje kununua Tanzania au sio? Anyway shukrani Kwa ushauri