Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Inshort bila kukupotezea mda Wew wala Wana jf Hao nimatapeli ukituma tu hela umeliwa kichwa and by the way usipende Sana vitu vya bei rahisi utalia na kusaga meno...
Mkuu umeanza vizuri ila mbele umeharibu, Issue sio kupenda Sana vya bei rahisi maana Kila mtu anapenda bei rahisi iwe ameridhika tu na hayo mazingira ya bei rahisi, labda inategemea wewe una define vipi neno bei rahisi

Issue ni ku afford kile unachoweza, kwahiyo unataka kumaanisha wanaoishi Zanzibar Kwakuwa kwao vitu ni bei rahisi waache kununua waje kununua Tanzania au sio? Anyway shukrani Kwa ushauri
 
Account kuwa na followers wengi sio kigezo siku hizi account zinauzwa zina followers laki 2 so watu hununua hizo na kufanya utapeli ukiona account imefungwa comments kuwa makini sana.
 
Mkuu kwamba Alibaba wana page instagram ina follower 24k bila Verification Badge? Halafu wamefollow watu 3000?
Mkuu me sikutaka ku judge kwa hivo vigezo maana nilijua tu Kuwa jamaa sio official Alibaba, maana unaweza kujiita jina la kampuni lingine ukiwa ume target kumaanisha unatoa huduma kama ilivo wao

Kwahiyo wao kujiita Alibaba au Kuwa na followers wacheche sikuona kama ni issue ya mie Moja Kwa Moja kusita Kufanya biashara na wao maana kuna wengine ata followers 500 hawana ila wanatoa huduma nzuri, me nilitaka kupata uhakika wa biashara Yao na ndiomaana nikaja hapa kupata msaada wa mawazo
 
Wewe nunua tu utatupa mrejesho maana inaonekana humu hakuna aliyenunua bidhaa kwa hao jamaa au aliyetapeliwa
 
Habari zenu wakuu, Katika kuhitaji kwangu TV na Fridge ila kutokana na ufinyu wa budget ikaniwia ugumu kuvipata vyote Kwa hapa kwetu Tanzania maana bei za hapa zimechangamka Sana

Nilijaribu kuulizia Zanzibar ila sikupata Msaada na kujikuta nachungulia Kwa majirani zetu Kenya, ndipo nilipokutana na hawa mabwana Instagram wakijiita Alibaba online store Kenya, nikacheki bei zao nikaona ziko vizuri kusema ukweli

Nikawacheki DM na kutaka kujua ni utaratibu upi wanatumia Katika uuzaji wao vifaa nchini kwetu Tanzania, wakasema wanafanya delivery Kila siku na delivery ni bure, na unafanya malipo kwanza Kisha unapewa tracking number unakuwa una track mzigo wako

Nikawauliza kama Wana branch Tanzania ili niende nikajiridhishe kabla ya kutuma pesa yangu na kupotelea kusikojulikana ila wakasema hawana, na wanaingiza vitu vingi tu Tanzania, nikaona ngoja nije Kwa ndugu zangu kutaka ushuuda au chochote kile ambacho kinaweza kunisaidia kabla sijafanya maamuzi

Nimejaribu kumtafuta yule jamaa alileta Uzi Kuwa yuko Kenya na anataka kutusaidia wa Tanzania kutuagizia vitu kutoka Kenya Kisha tunampoza kidogo ili akanichekie hiyo ofisi ya hao jamaa na apate uhakika kama kweli wanatuma vitu Tanzania Kwa ukweli ila bado sijafanikiwa kuongea nae, hivo wakati namsubiri nimeona muanze kunisaidia hapa jukwaani

View attachment 2122672
Watukane haraka maana ukiwastukia na wakajua watakuwahi matusi na block juu
 
Hahaha bro, usijaribu hata sikumoja , hiyo ni utapeli ulizozoeleka sana kwa wakenya, hufungua page mbalimbali like maduka electronics nyingine na simu hasa zile expensive then wanaeka bei ya chini sana na hukuza sana accounts ziwe na followers wengi, then ukiwacontact wanakukubalia matakwa yako yote but lazima ulipie kwanza, BUT one thing they have in common hao wakora, hawakubali uwavisit.

Just simple, waambie nimemuagiza mtu anakuja na cash kuchukua mzigo, wakupee direction ni wapi upo kwa barabara unaenda. Hahaha hawatashika simu yako teeenaaaaaa.

Watanzania vijana wengi sana wamelizwa na wakenya mambo ya kutana kubuy IPhone 13 ama pro max uko kwa 1M ama 2M, wamepigwa wengi sana[emoji23][emoji23] na waganda. So nimekusanua ndugu, yes Kenya simu and other electronics ni cheap yes but sehemu maalumu hasa kwa whole salers na hawafanyi delivery unless ni.mzigo wa biashara na lazima uende uvisit uonane na wao ndio ulipie, but pia ni very expensive as 80% od electronics ni FAKE wanauza kwa bei ya OG so utaona very cheap.but wamekukula mala 30[emoji23][emoji23]

Usibuy kitu kenya especially Nairobi online kwa kutaka kulipia kwanza pea, dont even try.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Nkaamua nimtolee uvivu
Screenshot_20220218_193443_com.whatsapp.jpg
 
Unawezakita mwenye akaunti hiyo yupo Nanjilinji huko...

Anakula tu mpunga wa wale wahenga walisema "wajinga ndio waliwao"
 
Hahaha bro, usijaribu hata sikumoja , hiyo ni utapeli ulizozoeleka sana kwa wakenya, hufungua page mbalimbali like maduka electronics nyingine na simu hasa zile expensive then wanaeka bei ya chini sana na hukuza sana accounts ziwe na followers wengi, then ukiwacontact wanakukubalia matakwa yako yote but lazima ulipie kwanza, BUT one thing they have in common hao wakora, hawakubali uwavisit.

Just simple, waambie nimemuagiza mtu anakuja na cash kuchukua mzigo, wakupee direction ni wapi upo kwa barabara unaenda. Hahaha hawatashika simu yako teeenaaaaaa.

Watanzania vijana wengi sana wamelizwa na wakenya mambo ya kutana kubuy IPhone 13 ama pro max uko kwa 1M ama 2M, wamepigwa wengi sana[emoji23][emoji23] na waganda. So nimekusanua ndugu, yes Kenya simu and other electronics ni cheap yes but sehemu maalumu hasa kwa whole salers na hawafanyi delivery unless ni.mzigo wa biashara na lazima uende uvisit uonane na wao ndio ulipie, but pia ni very expensive as 80% od electronics ni FAKE wanauza kwa bei ya OG so utaona very cheap.but wamekukula mala 30[emoji23][emoji23]

Usibuy kitu kenya especially Nairobi online kwa kutaka kulipia kwanza pea, dont even try.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Nimekupata Sana mkuu
 
[emoji3][emoji3][emoji3] mie pia kabla sijaleta Uzi humu nilimcheki mshkaji alie huko ili akawacheki ofisini kwao, so nikawambia namwagiza mtu aje kuthibitisha kwanza kabla sijafanya chochote Ndio nikaona hali ya utulivu maana simu zilikuwa nyingi
 
kuna uzi niliuona humu JF wa jamaa anaagizia watu bidhaa kutoka Kenya, uko wapi ule uzi?, nimeutafuta sijauona.

mwenye link ya ule uzi atuwekee
 
Kuna jamaa yangu alipigwa 500,000 mambo ya kupenda vitu rahisi yana wagharimu sana watu.
 
kuna uzi niliuona humu JF wa jamaa anaagizia watu bidhaa kutoka Kenya, uko wapi ule uzi?, nimeutafuta sijauona.

mwenye link ya ule uzi atuwekee
 
shukrani mkuu, ndiyo huuhuu, na mwenye huo uzi ni wewe mwenyewe.

dunia imechafuka siku hIzi, imani imeisha. tutakuamini vipi?
 
Kuna jamaa yangu alipigwa 500,000 mambo ya kupenda vitu rahisi yana wagharimu sana watu.
watu walivyo na lugha nzuri za ulaghai, ni vigumu kuamin tapeli yupi na kweli yupi?.

whatsapp kuna group la kuagiziwa bidhaa kwa ujumla china, lakini comments zimefungwa watu wasiseme reviews and opinions za admin mtoa huduma. nikamfuata admin inbox na kumuuliza kwanini anafunga comment watu wasicomment uzuri na ubaya wake admin, alichonijibu, "kama hutaki leave", nikajua hapa watu wanapigwa kimyakimya
 
naomba iwe bahati mzuri uwe mtu mzuri ambaye siyo tapeli. mkuu, ukiwa mwaminifu na jina lako la uaminifu likawa kubwa hapa jf kama lilivyo la MWL.RCT, amini nakwambia utapiga pesa mpaka uzichoke, wanaohitaji kununua bidhaa kenya tuko wengi sana, kenya shipping method yake ni cheap kuliko amazon, ebay na aliexpress
 
Back
Top Bottom