Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Not exactly like that Ila pressure cooker ambazo unatumia majiko ya kawaida zipo mtaani,
Mimi nataka hiyo hiyo. Inaitwa RASKO BABA PRESSURE COOCKER INATUMIKA sana INDIA IRAN PAKISTAN. Inatumika sana kwenye kuni na mkaa bila shida ttoauti na presure coocker za kawaida
 
Mimi nataka hiyo hiyo. Inaitwa RASKO BABA PRESSURE COOCKER INATUMIKA sana INDIA IRAN PAKISTAN. Inatumika sana kwenye kuni na mkaa bila shida ttoauti na presure coocker za kawaida
Kuna jamaa wapo Swahili plaza wanasafirisha toka India Dola 11 ama 13 kwa kilo kama kumbukumbu zipo Sawa, hio ni kwa ndege, probably Meli ikawa rahisi zaidi. Jina nimesahau Ila wapo floor ya Kwanza ukipanda Tu ngazi upande wa Kulia.

Alternative umtafute mhindi anakuja umpoze kidogo akubebee,

Pia vyema ufanye utafiti ina kilo ngapi, kama nzito Sana ndege itakucost Sana.
 
Uzi wa kitambo sana sijui mleta mada bado yupo hai nimuulize maswali zaidi.Nataka kujua kama kuna kampuni inaweza kusaidia hizi mambo maana
 
Nataka kujua kama kuna kampuni inaweza kusaidia hizi mambo maana
  • Waweza fafanua zaidi ni msaada upi unahitaji?
  • Unahitaji manunuzi toka nchi ipi?
Karibu.
 
Last seen Jun 9, 2026
Mkuu huvi kitu kama hiki naweza kuzuiwa kukiagiza
Screenshot_20261014-233922_Chrome.jpg
 
  • Katika list ya forwarding company ongeza hii " ComGateway"
  • Iko safi zaidi - ukilinganisha na myusu.com
  • Tena wana application yao ya android inayokuwezesha kufanya ulinganifu wa bei toka masoko tofauti tofauti
  • Iko salama zaidi, hakuna charges zilizojificha, Kujiunga ni free JZHOELO
Ni miaka 12 sasa, huu uzi bado upo valid
 
wakaandika free shipping mzigo
Free shipping ni lugha ya kibiashara, kimsingi gharama za usafirishaji huwa ni inclusive kwenye bidhaa husika..

Mfano mdogo:
  • Item thamani yake halis ni usd 21,
  • Hiyo hiyo item gharama za kusafirisha ni usd 8
Kwa lugha ya kibiahsar utaandikiwa bidhaa inauzwa usd 29 inclusive FREE SHIPPING ( Katika bishara/ huduma hakuna kiuhalisia neno 'FREE' )
- Au utaandikiwa 50% discount, uataona wamekata / ondoa bei ya zamani usd 58, kisha unaandikiwa usd 29 (FREE SHIPPING) - Wanajaribu kucheza na saikolojia ya mnunuzi
 
unapokuja huku unafikia wapi?
Hii inategemea na muuzaji husika atasafirisha kwa njia ipi?

Muhimu hakikisha unaweka namba ya simuambayo muda wote inapatikana, na pia hakikisha unakagua mara kwa mara order uliyofanya kuangalia uwepo wa tracking number, ambayo iutakupa hint mzigo unakuja vipi na utapokea wapi.
 
Asante sana
 
Naomba kuuliza mfano umeninua suruali 2 shati mbili viatu pea mbili,mzigo ukawa pamoja hawa watu wa kodi TRA kodi itakadiriwa kwa jumla au tuseme kwq gharama ya mzigo jumla au wanachambua kimojakimoja
 
Back
Top Bottom