Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Mkuu vipi kama nahitaji bidhaa toka Alibaba omarkets??
 
mambo vp mkuu: nimefanya registration myus.com nataka kujua ni ipi street address,city,postal/zipcode. naona zkama nachanganya vile: 4283 Express Lane
Suite 740-877
sarasota,FL 34249
Telephone🙁941)538-6941
 
Wakuu Mimi nimenunua bidhaa eBay, sasa ni zaidi ya siku 10 sijapata trucking number, je kuna njia gani nyingine naweza kujua mzigo wangu ulipofikia?
 
Kwa hiyo wakuu ni kampuni gani ina bei nzuri na inaaminika kusafirisha mzigo toka China?
 
Wakuu Mimi nimenunua bidhaa eBay, sasa ni zaidi ya siku 10 sijapata trucking number, je kuna njia gani nyingine naweza kujua mzigo wangu ulipofikia?
Tulia uvute subira mkuu, uliambiwa mzigo utafika baada ya muda gani? Mm huwa nasubiria siku 30 kama sijapokea mzigo wangu nawasiliana na seller then tunatatua kama kuna tatizo. Pia ni vyema kufahamu kuwa sio aina zote za kutuma mzigo zina offer tracking number.
 

Ahsante mkuu kwa maelezo, ila seller nawasiliana nae vipi?
 
Shukrani wakuu, NMB wana master card ila hawajaiunganisha na online shopping. Ninasubiri wakiactivate nijaribu amazon kuna vitu nimeona na ninavihitaji sana.
 
Wakuu kodi za kulipia hadi mzigo kufika zikoje?
Maana naona vitu nje ni bei mzuri sana lkn sijajua hadi kukifikia nitakuwa nimelipa ngapi.
Mf kuna simu ipo alibaba ya dolla 50 je hadi kunifikia itanicost ngapi?
 
Nauza friji2 show case @700000/= jumla 1400000/= zina VAT receipt nilizinunua mwaka jana 2016 mwezi wa4.

Nachange business ndiomana naziuza zipo salama kabisa
Nipo mtoni mtongani napatikana kwa 0654411800.
 
wakuu ni kwanini amazon bidhaa ni rahisi kuliko ebay? nimekuta samsung galaxy s4 used inauzwa dola 85
 
wakuu ni kwanini amazon bidhaa ni rahisi kuliko ebay? nimekuta samsung galaxy s4 used inauzwa dola 85
- Amazon huwa Hawajaweka freight/shipping cost, Huwa ni free delivery,au malipo kidogo kwa eneo husika.
- Ebay wanakuwekea bei ya kununulia na kusafirisha, - Hata kama wameandika FREE SHIPPING ila kihesabu ghalama ya kusafirishia inakuwa tayari included katika malipo unayofanya.
 
equity bank jee wanaruhusu online transaction?
 
equity bank jee wanaruhusu online transaction?
Ndio, wanaruhusu
Fika kwenye ofisi zao ndani ya dakika 20 utaondoka ukiwa na kadi yako iliyo tayari kwa matumizi mtandaoni
 
hebu na Mimi nijaribu
 
hii ni gharama ya kutuma shati la usd 17 imefikia total 85usd...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…