Ni kama facebook ilivyopigwa marufuku china na korea na kwingine! Hiyo ni vita ya kibiashara mkuu!Alibaba imepigwa marufuku USA kwa sababu ya kuuza bidhaa fake...yaani unaagiza bidhaa lakini unaipata ikiwa counterfeit aunchini ya kiwango...labda ununue kupitia Amazon au Ebay...
umenena pointBadala ya kuhamasishana na kupeana mbinu za kununua bidhaa alibaba ni vyema tukapeana mbinu za kuuza bidhaa zetu alibaba!
Watz tunawaza tu kufanya importation na sio exportation. Mungu ametujalia rasilimali ila tumekosa tu maarifa.umenena point
Kwa mfano nataka nunua dslr camera ya dollar 2000 - 4000, kodi yake inaweza kuwa ngapiKupigwa kodi inategemeana na njia uliyotumia!
Fedex,ems,ups,dhl au posta(percel) kwa uzoefu wangu hapa lazima mzigo ufunguliwe na utapigwa kodi 25%income tax+18%vat ya thamani ya pesa uliyonunua kwa kulingana na kiwango cha pesa cha dola siku hiyo.
Kama mzigo ni mdogo chini ya kg 2 hapa nakushauri utumie registered airmail with tracking namba hii ni huduma ya posta na inachukua siku 7-21 kufika,advantage ya hii mzigo haufunguliwi unapewa kama ulivyo na hubugudhiwi na wale watu wa tra pale posta.
Asante.
Ni lazima ukaombe. Kwa kujaza fomu.Kwa mnaotumia kadi ya NBC ni lazima kadi yako ukaombe wairuhusu kufanya online transaction?Au inakubali tu?
NBC haina shida unalipia straight. Jaribu equity bank wako poa sana.Kwa mnaotumia kadi ya NBC ni lazima kadi yako ukaombe wairuhusu kufanya online transaction?Au inakubali tu?
Ni lazima ukaombe. Kwa kujaza fomu.