Nimetumia singapore post toka mwezi wa 6 mpk leoMkuu vipi salama uko! Mbna unarudia umo kwa umo kama unapiga msuaki.
Maswali yako yote jibu lake ni moja tu maana maswali yote yanauliza muda gani mpaka mzigo kufika
Inategemea na caurier gani umetumia
Free shiiping mara nyingi hua ni "china post odinary small package plus" hii huchukua 30-60 day
China post registerd air mall 15 - 30 day
Aliexpress standard shipping 14 - 25 dys
Singapor post 20 - 40 day
Nyengine ni epress shipping kama dhl 1-5 dys, fedex economy 5-10 dys
Tarehe gani order ilitumwa?Nimetumia singapore post toka mwezi wa 6 mpk leo
Mkuu tracking no unaitumia vipi,Tarehe gani order ilitumwa?
Kwa kawaida order inatakiwa kufika ndani ya siku 60 (2 month). Kuna order nilitumiwa ilichukua zaidi ya siku 45
Singapor post wanaprovide tracking number. Jaribu kurack huo mzigo uone uko wap
order ilitumwa tarehe 2/7Tarehe gani order ilitumwa?
Kwa kawaida order inatakiwa kufika ndani ya siku 60 (2 month). Kuna order nilitumiwa ilichukua zaidi ya siku 45
Singapor post wanaprovide tracking number. Jaribu kurack huo mzigo uone uko wap
Mkuu tracking no unaitumia vipi,
Juzi nimeagiza mzigo ebay nauchukua posta sio
Namaanisha kwenye lile sanduku la posta nililoliainisha pale sio
Na what if mzigo u delay tracking no inakusaidia vipi?
Natanguliza shukrani
Nitumie tracking no nijaribu kuuchekiorder ilitumwa tarehe 2/7
Thank you sir,Kila caurier wanoprovide tracking no maana yake unaweza kuutrack mzigo wako step by step kwenye site yao mpaka unafika unapotakiwa kufika.
But kuna baadhi ya posts ni vigumu kutrack mzigo kwenye site zao kama china post sababu ya language na sijaona sehemu ya kubadili language kua english and so on hivyo nashauri download app inaitwa "17 track" inapatikana playstore. Hii itakusaidia kutrack oder zako kwa wakati mmoja na ina option ya kutranslate any language kuwa english, inakutumia notification kila hatua inayopitia mzigo wako.
Yah kama mzigo umetumiwa kwa posta mfano USPS utaupokea posta
Fedex utapokea kwenye ofisi zao mzigo ukifika utapigiwa simu
DHL naskia wanakuletea mpaka ulipo sina uhakika juu ya hili wanaojua watatuambia
Mzigo ukichelewa kufika track no itakusaidia kujua mzigo wako wapi ulipo
Hope nimejitahid kuelezea kidogo kwa ninachokifahamu
USPS > United State postal ServicesThank you sir,
Ila ka swali ka mwisho hiyo USPS ni nini
Caurier gani umetumia kushipp mzigo wakoNa kingine inachukia muda gani mpaka kuiona ukiitrack coz nimeangalia wanasema hakuna information za no hiyo kitu nimenunua juzi
Economy shipping zipo nyingi nimeshangaa kuona hawakuainisha exactly caurier gani seller ametumia kushipp mzigo wakoMkuu soma hiyo screenshot
Mkuu vipi kuhusu ushuru kama unatumia njia ya DHL au Fedex au hakuna kulipia ushuru?Kila caurier wanoprovide tracking no maana yake unaweza kuutrack mzigo wako step by step kwenye site yao mpaka unafika unapotakiwa kufika.
But kuna baadhi ya posts ni vigumu kutrack mzigo kwenye site zao kama china post sababu ya language na sijaona sehemu ya kubadili language kua english and so on hivyo nashauri download app inaitwa "17 track" inapatikana playstore. Hii itakusaidia kutrack oder zako kwa wakati mmoja na ina option ya kutranslate any language kuwa english, inakutumia notification kila hatua inayopitia mzigo wako.
Yah kama mzigo umetumiwa kwa posta mfano USPS utaupokea posta
Fedex utapokea kwenye ofisi zao mzigo ukifika utapigiwa simu
DHL naskia wanakuletea mpaka ulipo sina uhakika juu ya hili wanaojua watatuambia
Mzigo ukichelewa kufika track no itakusaidia kujua mzigo wako wapi ulipo
Hope nimejitahid kuelezea kidogo kwa ninachokifahamu
Yah utalipa ushuru kwa iterms ambazo ni eligible kulipiwa ushuruMkuu vipi kuhusu ushuru kama unatumia njia ya DHL au Fedex au hakuna kulipia ushuru?
Mkuu nitakufata PM nikitulia kuna masuali nataka kuyapatia majibu. Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako.Yah utalipa ushuru kwa iterms ambazo ni eligible kulipiwa ushuru
Ila kwa process ya clearence binafsi na prefer DHL unalipia ushuru tu kwenye ofisi zao unapokwenda kuchukua mzigo wako.
Fedex longolongo nyingi unalipa kuanzia agent fee, costum duties, TBS, vat 18% and so on...
Kila siku nafanya manunuziNaomba kujua kama kuna mtu amewahi kununua vitu kupitia ebay, alibaba au amazon.
Kuna baadhi y bidhaa zina kodi, na zingine hazina kodi bali zinakuwa na VAT ya 18%TRA wanatozaje ushuru?
Swala muda hutegemea aina ya usafirishaji uliyochagua.na pia vipi muda wakupokea ni kadri ya mkataba?.