Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Kama kuna mtu yeyote humu ndani ambaye alisahwahi au anafahamu jinsi ya kuagiza bidhaa Alibaba.com anielekeze. Asanteni waungwana
 
aliexpress.com kama unataka vitu vidogo vidogo sio vya biashara kubwa
aliexpress wanachukua credit card ,Alibaba bank draft
 
Ni matapeli hawa au wakweli nimepitia huu uzi nimedownload app yao wana bidhaa cheap sana
 
Kilio chenu tumekiskia sasa unaweza kufanya manunuzi abroad na kuchukulia mzigo wako ofisini kwetu. No credit cards needed www/teknozoo.co.tz
 
Habar wana jf

Naombeni Msaada
Nielekezeni ni jinsi gani naweza kuagiza mzigo kutoka india kuja dar.

Nipeni process za Kufanya au niende wapi au ni kina nani ni wahusika wakuu na gharama zao me nasikiaga tu kina ebay, xjui paypal mara visa hata sielewag naombeni mnielekeze kwa kina me xifahamu haya mambo wajameni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…