Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Hua unalipaje?
 
Vipi mkuu kuhusu mizigo mikubwa au mizito ambayo inahitaji kusafirishwa na meli, ni agent gani mzuri world wide.
 
Wana system yao ipo kama paypal wanaita "alipay" hapa unalink card yako unalipa then zile pesa wanazishikilia mpaka utakapothibtisha umepokea mzigo ndo seller analipwa otherwise km hujapata mzgo wanakurefund
alipay mbona kama kwa tz inakataa unga.maana sijaona.katika list nchi ya tz
 
Kitu ambacho kinanipa shida mpaka Sasa hivi ni zip code mjuvi wa hili atujuze
 
Ku
Ahsante mkuu kwa mchango wako. Ila me debit card yangu inazingua kulink na paypal. Billing address iko sawa ila wanazingua
Mbona sasa inasemwa kuwa huduma za PAYPAL kwa bongo hazifanyi kazi, yaani BOT haijaruhusu kisheria. Nimeisoma humuhumu jukwaani juzi tu, mdau alikuwa analalamika. Hebu nieleweshenI hapo
 
Utapel ndo unaoniogopesha kununua vitu mtandaoni
 
Mleta mada au mwana JF yeyote mwenye maujuzi juu ya KUUZA VITU kwenye hizo sites hasa huko AMAZON atujuze. Naambiwa ni biashara nzuri na yenye pesa kedekede. Binafsi nimekuwa naisoma tu kupitia jamaa fulani wa USA wanaojiita Amazing Selling Machine (ASM). Mwenye maujuzi ya uuzaji au kufanya biashara huko atujuze tafadhali.
 
GOOD DISCUSSION THIS IS THE RIGHT TIME TI TAKE RISK., SWALI LANGU NI HIVI. KODI UNALIPA WAPI NA MZIGO UNAPOKELEA WAPI
 
Mwl. RCT heshima kwako nimepitia thread nzima leo nimejifunza mengi ambayo nilikuwa sielewi na nimeona fursa kubwa sana hapa. Asante kwa kila mmoja na JF kwa ujumla hii ni shule kubwa. Naahidi muda ukifika nitakutafuta Mwl. Ubarikiwe saana
 
kwenye forward nyingine hawa nawakubali------free consolidation,60 days free storage,buy for me,No membership fees,No monthly fees,partnership with US Postal Service, FedEx and DHL...Pia wana buy from china.....http://www.usgobuy.com Mwl.RCT JZHOELO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…