kwenye forward nyingine hawa nawakubali------free consolidation,60 days free storage,buy for me,No membership fees,No monthly fees,partnership with US Postal Service, FedEx and DHL...Pia wana buy from china.....Package & Mail Forwarding Service for US Online Shopping - USGoBuy Mwl.RCT JZHOELO
mkuu hujaona iyo 2-8 days kwa $37.12Ghalama zao ziko juu.
Mfano
- Kwa mzigo wa 1kg mimi natoza US $44, kwa mzigo utakao upata ndani ya siku 8-14
- Lakini kwa wao ghalama kwa hiyo 1kg inaanzia us $61.57
- Pia wakati wao wanashughulika na manunuzi ya CHINA na USA, Kwa mimi kupitia huduma ya BUY4ME ninafanya karibia mahara popote pale iwe ni Australia, Canada, Japan, China, Thailand, Dubai, Germany, Uk, US, South Africa, etl kwa zaidi ya mataifa 20 naweza kukununulia mzigo na ukakufikia nchini ndani ya muda husika kati ya siku 8 hadi 14tu.
Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
View attachment 897602
Angalia tena vizuri.mkuu hujaona iyo 2-8 days kwa $37.12
Changamoto kubwa ya hizi kampuni za USA ni ghalama kubwa (hidden cost),Ni kwel boss nilisoma vibaya ni weeks sio days
Changamoto kubwa ya hizi kampuni za USA ni ghalama kubwa (hidden cost),
Nimewahi telekeza mzigo wenye thamani ya Dola 60, ambao ilitakiwa ulipiwe ghalama ya kusafirishia Dola 350, kuja Tanzania. Hivyo tumia hizo huduma kwa tahadhari.
Mimi natumia. Aliexpress kila kitu ni poa mbona?na refund napataalipay mbona kama kwa tz inakataa unga.maana sijaona.katika list nchi ya tz
Ni kwel niliwatumiaga usbuy zile siku zao za ofa ziliisha ikawa kila siku 1$ inaongezeka yan kwao ni moja kwetu ndio ivyo mlo wa siku kabisa
Ghalama zao ziko juu.
Mfano
- Kwa mzigo wa 1kg mimi natoza US $44, kwa mzigo utakao upata ndani ya siku 8-14
- Lakini kwa wao ghalama kwa hiyo 1kg inaanzia us $61.57
- Pia wakati wao wanashughulika na manunuzi ya CHINA na USA, Kwa mimi kupitia huduma ya BUY4ME ninafanya karibia mahara popote pale iwe ni Australia, Canada, Japan, China, Thailand, Dubai, Germany, Uk, US, South Africa, etl kwa zaidi ya mataifa 20 naweza kukununulia mzigo na ukakufikia nchini ndani ya muda husika kati ya siku 8 hadi 14tu.
Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
View attachment 897602
Nataka hili box hapo inaonesha sh 209k, vp gharama mpaka inifikie kupitia kwako?Changamoto kubwa ya hizi kampuni za USA ni ghalama kubwa (hidden cost),
Nimewahi telekeza mzigo wenye thamani ya Dola 60, ambao ilitakiwa ulipiwe ghalama ya kusafirishia Dola 350, kuja Tanzania. Hivyo tumia hizo huduma kwa tahadhari.
Ghalama inatokana naNataka hili box hapo inaonesha sh 209k, vp gharama mpaka inifikie kupitia kwako?
TZS 243,270
Hapo utakuwa umetoa Na gharama yako au nitachangia kidogo?TZS 243,270
Hii ni ghalama ya kuufikisha mzigo nchini.
Baada ya mzigo kufika nchini.delicate mfano laptop, hapo nitaipata vip kwa hapa mwanza,
Hii ni ghalama kamili hadi mzigo unakufikia dar.Hapo utakuwa umetoa Na gharama yako au nitachangia kidogo?
mkuu hiyo zip haina issue sana wee unaweza jaza na kuacha wazi ila mzigo unafika bila shidaKitu ambacho kinanipa shida mpaka Sasa hivi ni zip code mjuvi wa hili atujuze
Kinachofanyika hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForumsKuna hawa jamaa wanaoitwa EasyBuy kuna mtu ana experience nao? Gharama, Muda wa Mzigo Kufina Nk?
Nadhani wako na Office somewhere Oysterbay.