Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Iyo sio app ya eBay ni feki ukitaka kununua nenda kwenye web yao
 
Iyo sio app ya eBay ni feki ukitaka kununua nenda kwenye web yao
Acha bhana kwahyo hawa ni wezi au!?? Maana hii app nimeipata playstore na kutokana na reviews za wengi inaonekana ni yenyewe hii.
 
Wakuu heshima kwenu nyote mliohusika na huu Uzi kwani ni mzuri mno na unaelimisha na kutufaidisha mno. Naombeni mnijibu swali hili: Mimi nna shida kwa mfano na kimashine flani cha kukatia miti chenye thamani ya dola 200 nilichokiona kupitia soko la Amazon. Na nataka kinifikie kupitia kwa mtaalamu kama Mwalimu #RCT je kwa milolongo yote mpaka kutua mikononi mwangu kitanigharimu bei gani? Na bila kusahau kimashine chenyewe kina kilo zisipungua kilo 20 au kuzidi kilo 25 pamoja kwa ukamilifu wake. Narudia kuwashukuru kwa elimu yenu mnayojitolea muda wenu kutuelimisha.
 
Na bila kusahau kimashine chenyewe kina kilo zisipungua kilo 20 au kuzidi kilo 25 pamoja kwa ukamilifu wake.
- Ghalama ya manunuzi yaweza kuwa ndogo; ila
- Ghalama ya kusafirishia ndio ikawa kubwa; Sababu
- Ghalama ya kusafirishia hutokana na uzito wa mzigo, Kwa mzigo wa 20kg , Freight cost (Ghalama za usafirishaji kwa ndege)- inalipiwa USD 561

je kwa milolongo yote mpaka kutua mikononi mwangu kitanigharimu bei gani?
Ghalama utakayopewa ni manunuzi + kusafirisha = Hadi dar (Tz)
Baada ya zigo kufika nchini kuna ghlama zingine za kulipia
- Clearance fee & swisport charge ( hii inafahamika )
- Tax / VAT - Hii mamlaka husika itatutajia kiwango kutegemea na HS code husika.

Kwa ujumla kutakuwa na awamu mbili za malipo.
- Awamu ya kwanza: Mzigo kabla ya kufika hapa nchini ( Manunuzi + kusafirsha)
- Awamu ya pili: Baada ya mzigo kufika nchini.
Mimi nna shida kwa mfano na kimashine flani cha kukatia miti chenye thamani ya dola 200 nilichokiona kupitia soko la Amazon.
Kwa bidhaa toka nje ya nchi zenye uzito mkubwa ghalama ya kusafirishia huwa ni changamoto.
Mfano hii bidhaa yako manunuzi ni US $200, ila ghalama ya kusafirisha ni US $561.

Ushauri
- Kwa bidhaa zenye uzito mkubwa ni vyema kutafuta toka china (alibaba) ambapo tutamwomba muuzaj atume kwa njia ya maji (meli), ambapo shipping cost huwa ni ndogo.

KARIBU
 
kwa mfano kuna simu inauzwa USD 38. Nyingine 12$ nkasema this is something amazing bei ya fungu la dagaa wanauza smartphone wana utani hawa..
Bei sio halisia
Uhalisia wa bei waweza kuangalia bidhaa hiyo hiyo AMAZON au ALIEXPRESS
Kwa ebay ili kupata uhalisia wa bei hakikisha muuzaji ana hii nembo (Top Rated seller = A)

(B) Muuzaji awe na rating yenye uhalisia kulingana na idadi ya bidhaa alizouza.
Ndo nataka wajuzi wa mambo waje wanithibitishie hili suala
 
Ahsante sana nmekupata vizuri sana Mwalimu #RCT na sina tatizo khs kununua mzigo huo kupitia solo LA uchina wala sina tatizo katika usafirishaji kwa njia ya maji. Swali ni kwamba ninaweza kupata machine hiyo huko China yenye imetengenezwa Amerika, Canada, Germany au Brazil? Sihitaji machine Made in China niliwahi kuagiza huko kwa lengo la kupata original kutoka mataifa niliyoyataja hapo juu nikaletewa machine feki. Machine yenyewe niitakayo ni Hasqavarna272 au 268.
 
Swali ni kwamba ninaweza kupata machine hiyo huko China yenye imetengenezwa Amerika, Canada, Germany au Brazil?
Jibu ni hapana.

Ni vyema ukaendelea na taratibu za manunuzi direct toka nchi husika.
- Iwapo utanunua Germany basi mzigo nitaupokea ofisini Kelsterbach
- Iwapo manunuzi yatafanyika Canada mzigo nitaupokea ofisini Mississauga
- Na iwapo utaununua kutokea Amerika basi nitaupokea Springfield Gardens

Baada ya kuupokea kwenye nchi husika ndio nitausafirisha kuja Tanzania, na mzigo ukifika basi utajulishwa na utakuja kuuchukua ofisini.

Karibu
Mawasiliano:
Post ya kwanza hapa ina mawasiliano: www.bit.ly/101buy4me
 
JINSI YA KUPATA $30 NO DEPOSIT BONUS YA TEMPLER.

[TAFADHALI SOMA TERMS AND CONDITIONS: ZIMEUNGANISHWA]



huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....



ANGALIZO:

Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.



HATUA ZA KUFUATA:

1. Fungua akaunti mpya hapa:



https://secure.templerfx.com/login/sign_up/162585



2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.



3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok



4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:



NDB30JN42017



Then submit.



5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.



6. Kama huna MT4 ,download hapa:



MetaTrader 4 – Applications Android sur Google Play



Start Trading!!



Jisajili hapa upate bonus kirahisi



https://secure.templerfx.com/login/sign_up/162585



Ukihitaji msaada wowote, nicheck inbox

+255769095171
 
Write your reply... kwa aliepata chuo cha ustawi ngazi ya cheti na anahitaj chumba karibu na chuo cha ustawi wa jamii bamaga anicheki pm
 
Asante sana sana kwa msaada wako. Na juu ya kupata agent huwa ni kampuni gani ina agent wa uwakika
 
Kuna bidhaa nahitaji kuinunua katika app ya manunuzi online ya ally expres kama yupo anae jua humu nahitaji msaada wake wa kuninunulia
 
Kuna bidhaa nahitaji kuinunua katika app ya manunuzi online ya ally expres kama yupo anae jua humu nahitaji msaada wake wa kuninunulia
Kuwa makini mkuu,

kuna jamaa zetu hapa akina Mwl.RCT ni waaminifu wanaweza kukusaidia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…