Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Ni rahisi sana kama unayo kadi ya benki inayoweza fanya mananuzi online. Na mzigo unafika kwa njia posta bila shida kuanzia wiki tatu.
 
Mkuu,vipi nikinunua mzigo ambao uzito wake haufiki hata 1 kg unachaji vipi? Na mfano nikihitaji kitu amazon wewe ndio inakuwa was kuship to Tz au?
 
Na mfano nikihitaji kitu amazon wewe ndio inakuwa was kuship to Tz au?
Sahihi, mimi ndio nitawajibika kukusafirishia

Yaweza kuwa ni
- Amazon UK
- Amazon USA
- Amazon India (Souq.com )
Basi nitawajibika kukufikishia mzigo hapa nchini.

Kwa kutumia huduma yangu ya BUY4ME waweza kufanya manunuzi kutoka mataifa zaidi ya 20 ulaya/ asia & marekani

Karibu
 
Hello....wakuu wangu poleni na majukumu ya kila siku .... IRINGA DECOR bado tunaendelea na ofa ya furniture mbalimbali katika msimu huu wa Xmas na mwaka mpya ....tutaendelea kutuma bei zetu rafiki kwa mtanzania wa kawaida .... Zifuatazo ni bei za makabati ya jikoni( kitchen cabinets) ,zikifuatiwa na bei za milango [emoji95]BEI ZA KITCHEN CABINET KWA MSIMU HUU WA XMAS NA MWAKA MPYA -Mbao aina ya mninga au mkongo [emoji91]940,000/=
BEI HII INAHUSISHA VITU VIFUATAVYO SIZE .Mita moja ya Kabati la chini na Kabati LA juu yote kwa pamoja , pamoja na marble **940,000/= kwa kila mita moja [emoji95]MDF PINE 525,000/= BEI HIYO INAhusisha mita moja Kabati LA chini na juu pamoja na marble [emoji91][emoji91][emoji91]MILANGO NA FREM ZAKE *MBAO ,MNINGA AU MKONGO 350,000/= *MBAO ..ZINGNEZO 265,000/= *JOINED BORD 325,000/= KWA HUDUMA ZA KITCHEN CABINETS TUNAKUFUATA MTEJA MPAKA ULIPO....milango tunafikisha mpaka ulipo kwa gharama zetu
KARIBUNI SANA KWA BIDHAA ZETU ZENYE UBORA WA HALI YA JUU Call/text/WhatsApp. 0657888724
 
unapokea malipo kwa paypal
 
Aisee hizo zimeni bariki
 
Habari.
Naomba Kwanza nikuelekeze kitu, awali eBay ilikuwa inaaminika Sana hadi kipindi Cha karibuni hapa kuna wana wameingia ndugu yangu usipokuwa makini unaibiwa. Nunua bidhaa kwa mtindo wa auction au mnada hao wanauza kwa mtindo huu eBay wapo realistic, hao wanaouza s9 dola 12 mataperi nunua bidhaa kwa bei ambayo hata wewe mwenyewe unaona bei relevant. Nakutahadharisha usinunue bidhaa eti unaona bei rahisi sana utakuja kujuta utakachotumuwa.
 
Umeona kitu eBay hufahamu utakipataje na umekipenda nitumie link kwenye person meseji ya jamii forum pamoja na namba yako nikusaudie kwa gharama nafuu kabisa.

Mimi nimeshanunua simu na vifaa kibao vimefika.
Mfano ni simu unayoiona hapo.
 
Mkuu naitaji hii card but link uliyoweka haifunguki. Unaweza ukanisaidia niweze kupata website yao ili ni apply hyo card?
 
umeagiza kupitia njia gani mkuu
 
Du mkuu nimesurrender yani nimenunua spare part flani kwa 6.07 usd halafu shipping wananiambia 67.34 hahaha huu utani bora niwaachie hicho kitu
[emoji1] [emoji1] duh noma sana, bei ya kusafisha inaingia Mara 11 ya bei ya bidhaa
 
Asee nimeingia ebay nimekuta photocopping machine inauzwa £20 nazani nikama sawa tsh 40 000. du nimeogopa. unaweza lipia ngoma isitumwe
Angalia shipping cost ,utakimbia. Unaweza ukaambiwa $ 200+
 
Msaada jamani nimenunu kitu eBay baada ya kulipia naambiwa kimeondoshwa kwa kuwa muuzaji si mtumiaji wa eBay market wa muda mrefu nifanye je hapo
 
Somo linashawishi na kutoa mwamko mkubwa kwa sisi ambao hatujaingia katika huu mfumo wa manunuzi...swali langu ni kwa sisi ambao hatuna hizo kadi za benk kuna njia mbadala ili kuweza kupata bidhaa kutoka nje?au hapa Tanzania hakuna mawakala wa kukusimamia kukuagizia kifaa kutoka nje?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wote mtakao hitaji kutengenezewa Website aina zote ecommerce yani site kama eBay au duka online ainaa yoyote au App nitafuteni. Nipo Berlin lakini naweza kuwasiliana tuka fanya project pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…