Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Ivi nikinunua kitu eBay ni shipping ipi inatumika/naweza kutuma kwa myus.com

Maana nimeona kuna laptop inauzwa 105400

Ni kinunua wataituma kwa $ ngapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bidhaa niliyonunua toka online maket inaweza kunifikia bila kuwa na track no?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mkuu nimenunu bidhaa eBay lakini muuzaji haja weka track no na inaonyesha amesha fanya shipping ya hiyo items je mizigo isiyo na track no hufika ama la msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana galama za kujiunga vipi kuhusu galama za usafilishaji ziko je

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wachek direct inbox, namuona mwal online hapo....

Sent using Jamii Forums mobile app
boc kama thamani ya bidhaa hyo haifiki $30 mara nyingi hawatowi track number labda ulipie track number.Cha kuganya hapo be alert kulingana na shipment period. Kama hyo bidhaa ni ya free shiping mzigo wako ukifka posta watakupigia simu.Na ukiona haujapokea bidhaa hyo ndani ya muda husika wahii mapema kwenye resolution center ili upewe refund au wakutumie mzigo mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watumizi wa Ebay, place bid inafanyaje kazi
Ni mnada, Unaweka dau kubwa zaidi kuliko kiais unachokiona kwa wakati huo.

Iwapo mwisho wa mnada wewe ukawa ndio mwenye dau kubwa.

Basi utatakiwa ulipe ili wakutumie mzigo wako
 
ila sasa naweza kupanua zaid biashara
Kuwa makini na items zenye uzito mkubwa

Waweza kununua item X kwa US $30

Na ukatakiwa ulipie $220 kama shipping/ freight cost kuja Tanzania.

Kabla ya kufanya manunuzi angalia forwarder husika inatoza kiasi gani kulingana na uzito wa bidhaa unayotarajia kununua.
 
Wakuu ni xiaomi gani hiyozidi bei laki 7 TZS
Nahifadhi file kubwa hivyo Rom isipungue 64GB
Muda mwingi simu yangu inakua bize mtandaoni na kuchati hivyo Battery isipungue 4000mah
Msaada kwa hili tafadhali


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu ni xiaomi gani hiyozidi bei laki 7 TZS
Nahifadhi file kubwa hivyo Rom isipungue 64GB
Habari ndugu BANGO JEUPE

Hii itakufaa

Xiaomi Redmi Note 7
- Size: 4GB 64GB
- Cameras 48MP ( Hii camera itakidhi sana mahitaji ya kazi zako, iwe ni picha ya kawaida au video )
- Screen size: 6.3'' Water Drop FHD+
- Battery: C 4.0 4000

BEI - Chagua kati ya 4GB na 6GB ram
- 6GB/ 64GB = TZS 603,000
- 4GB/ 64GB = TZS 557,172

Picha


VIDEO

TARATIBU ZA KUWEKA ORDER
- Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums

MUDA: Wiki Tatu (3) mzigo unakufikia

KARIBU
 
Ndugu BANGO JEUPE

Model ya pili inayofaa ni hii: Xiaomi Mi 8 Lite 4GB 64GB

Bei: TZS 684,440

Picha


VIDEO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…