Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

sitaki kusubiri nahitaji hiyo XIAOMI redmi note 7 ya 6GB RAM /64GB
Pia uzuri kwa sasa tayari wametoa Global (rom) Version, iko makini zaidi
Nipe muongozo natoa yote 60,3000 TZS AU natanguliza kiasi
Sahihi,
Malipo kamili inatakiwa yafanyike TZS 603,000

------------
UPDATE

Xiaomi Redmi Note 7

Global Version
3GB / 32GB = TZS 524,632.9
4GB / 64GB = TZS 537,912
4GB/ 128GB = TZS 709,022

China Version
6GB / 64GB = TZS 619,731.5

---------------------------------------

Kwa wengine wanao hitaji kuweka order ya hizi simu basi pitia kwanza hii thread: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
 
kwenye camera hapo ni shiida, hasa kwa shughul zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani ndugu nangoja kwa hamu nami nisumbue hapa JF nikiwa ndani ya Redmi, kwa mwaka huu nitakua nimetimiza moja ya ndoto zangu team TECNO nawaacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba munielekeze kunaonline trade inaitwa olymp trade mwenye uelewa nayo anielekeze inakuwaje
 
unaonline trade inaitwa olymp trade
Ni broker.

- Anatumiwa na wafanya biashara wa binary option.
- Broker wengine kwa binary ni: iq option, nadex etl

- Ambapo:-
1. Unajisajiri kwenye site yao.
2. Unafanya upload ya documents zote zinazotakiwa ili uwe verified.
3. Unadownload trading platiform husika.
4. Unaweka mtaji wako, minimum ni US $1, na kuanza kufanya trading iwapo una elimu stahiki ya kukuwezesha kufanya hiyo biashara.

Kwa forex thread husika hii hapa: Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue! - JamiiForums

Karibu
 
Aliexpress me inanisumbua kwenye malipo haitoi hela kwenye account hivyo naishia hewani natumia nmb account

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliexpress me inanisumbua kwenye malipo haitoi hela kwenye account
1. Je hiyo card yako inakubali kwenye site zingine ukiacha aliexpress??
2. Je card yako imewezeshwa kufanya miamala mtandaoni? - Hili hufanyika benki, By default card zote ziko blocked kwa miamala mtandaoni, inabidi uwaeleze benki husika waruhusu kufanyika kwa miamala mtandaoni.
3. Iwapo #1 na #2 hapo juu ziko sawa, basi tujulishe tukupe wazo lingine la nini cha kufanya
 
Sijawahi kufanya kwa site nyingine hiyo Aliexpress ndo ya kwanza. Basi ntajaribu kufuatilia benk ili wanifungulie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawana option ya M-Pesa wala tigo pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimaye! Unaweza kufanya malipo mtandaoni kwa M-Pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…