Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Wadau nataka kufanya manunuz aliexpress lkn sijui nianzie wap kabisaa, nahitajika kua na vitu ganii
 
mtandaoni je hata mastercard ya CRDB wanatoza pesa ukifanya malipo mtandaoni, Kama ndio je wanatoza kiasi gani?
Kila mtoa huduma, hizi benki, zinazotupatia visacard / mastercard huwa na makato fulani pindi kadi husika inapotumika,

Makato yako katika makundi mawili.
- Kuna baadhi ya benki huwa na flat rate , kiasi kidogo sana, (Hutumia neno bure, kwamba hakuna makato,i ila kiuhalisia yapo) kwa kila muamala unaofanyika mtandaoni.
- Na kuna benki zingine huwa ni asilimia fulani ya kiasi cha muamala unaofanyika.
 
Asante ndugu
Nitawauliza watu wa Bank ya CRDB Ili nijue makato yao
 
Mkuu Mimi pia nawakubali AliExpress.Wapo cheap.
 
Naomba kuuliza kama ni kiac gan cha mzigo ambao ni kias cha chini kuagiza,, eti hata labda simu tu naweza kuagiza kwa majaribio tu kupata japo experience??
Usiogope mkuu,Mimi niliwahi kufanya majaribio kule AliExpress Kwa kununua earphone kwa Buku jero(1,500/=) na zikafika.Ni original na ninazo mpaka Sasa hivi.
 
Mwl.RCT huu mzigo kwa haraka hadi nautia mkononi unaweza gharimu malaki mangapi?
 
Mkuu nataka kuagiza mzigo wa dola 130 hivi, makato yake ya kodi nikitumia DHL yatakua shilingi ngapi? na nikiamua kutumia posta kawaida itakua makato kiasi gani?
 
Inaweza ikapokea pesa ukitumiwa say from bank ingine??
 
@Mwl.RCT huu mzigo kwa haraka hadi nautia mkononi unaweza gharimu malaki mangapi?
Je package yote ina uzito wa KG ngapi??

Kumbuka uzito wa bidhaa ndio hutupatia shipping cost.
Waweza pitia hapa: www.bit.ly/101buy4me kwenye bandiko namba 1 na #2.

Ni vyema kuagiza toka china sababu ya kuwa na option nyingi za kusafirishia.

Karibu
 
iko poa sana i think ni kitu kizuri kujua kabla hujaanza respect sana
 

 
Malipo ya kodi TRA huwa yanakuwaje? Nataka kuagiza mzigo, shida sijui hapa Tz nitaulipia shilingi ngapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…