Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Hivi hiyo postcode ni ipi jamani maana niliwahi sikia Tanzania hamna hivo vitu
 
hahaha au utakutana na mnyama mkali tra...............
na kama ameweka namba ya simu mzigo ukifika, posta wanakupigia.......
 
Ingia google Tanzania postal code,utafungua link ya tcra utapata ya eneo lako
Kiongoz hawa aliexpress huwa hawahitaji sender and holder mfano dhl ambao ni wasafirishaji mizigo mana kwenye kikuu ukiagiza hawahitaji hawa watu na aliexpress wapo hivyo????
 
Sjawahi tumia kikuuu,ila AliExpress utachagua tu shipping agent,zipo za kulipia na free shipping ipo pia
Kiongoz hawa aliexpress huwa hawahitaji sender and holder mfano dhl ambao ni wasafirishaji mizigo mana kwenye kikuu ukiagiza hawahitaji hawa watu na aliexpress wapo hivyo????
 
kcamp, Mkuu hii mpesa mastercard kwa aliexpress unafanyaje? Tupe mwongozo mkuu nitumie hiyo kuagiza vitu
 
Mkuu hii mpesa mastercard kwa aliexpress unafanyaje??? Tupe mwongozo mkuu nitumie hiyo kuagiza vitu
Kama card ya kawaida tu mkuu,ushatengeneza mpesa Mastercard?
 
Nataka namna ya kulipia i mean hatua ukiwa na mpesa mastercard ninayotayari
Utaclick buy basi utaambiwa uchague njia ya malipo utachagua Add new card kisha utajaza particular za card yako



 
Card namba ni ile minamba mingi yote,MM mwezi ,YY ni mwaka wa card kuisha, security code ndio zile namba za CVV zipo tatu
 
Mimi mzigo wangu nimeutrack tarehe 2 juni umefika nchini na tracking namba naona enaexpire mzigo ukishafika nchini na mm niko mkoani nimefika ofisi ya mkoani tarehe 13 mzigo haujafika kwa walioko mikoani wenye uzoefu inachukua mda gani mimi niko Ruvuma.
 
hivi nikiagizwa mzigo mkubwa kutoka aliexpress mfano saa za mkononi 20 au zaidi naweza kupigwa kodi na TRA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…