Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Mkuu nimekuelewa Sana ila napenda kufahamu kutoka kwako na kwa yeyote mwenye kufahamu vipi kuhusu Hawa AliExpress wako vizur maana sijawahi kulitumia ila ndio nataka niagize mzigo kupitia wao wajuzi NAOMBA ufafanuzi Asante.
 
Kuna mtu yoyote katumia kampuni la ali express na kupokea mzigo wake wa quality ile na nzuri?
 
Kuna mtu yoyote katumia kampuni la ali express na kupokea mzigo wake wa quality ile na nzuri?
Vipi mwl Ushawahi kuwatumia hawa ali express?
Ndio, ni miaka kadhaa sasa naendelea kuwatumia.

Quality
- Bidhaa za viwango vyote hupatikana, high quality na low quality ni wewe utakavyochagua bidhaa husika, WYSIWYG

 
Ndio, ni miaka kadhaa sasa naendelea kuwatumia.

Quality
- Bidhaa za viwango vyote hupatikana, high quality na low quality ni wewe utakavyochagua bidhaa husika, WYSIWYG

View attachment 1216168
Mkuu nahitaji laptop yenye uwezo mkubwa na graphics nzuri kwa ajili ya CAD programs. Hivi nikiagiza kodi inahusika pia? Na njia gani salama ya kupokea/kutuma iliyo salama?
 
Hivi nikiagiza kodi inahusika pia?
Computer & computer parts hazina kodi, bali kuna VAT asilimia 18 uya invoice itakayo ambatana na mzigo husika.
Na njia gani salama ya kupokea/ kutuma iliyo salama?
Bila shaka unazungumzia kutuma fedha.
- Bank deposit
- Mobile benking
Zaidi angalia hapa: www.bit.ly/101buy4me
laptop yenye uwezo mkubwa na graphics nzuri kwa ajili ya CAD programs
Sema bajeti yako ni TZS ngapi ili wadau washauri ipi ya kununua.
Waweza angalia hapa www. amazon . com
 
M-pesa ndo mpango mzma haina makato ya kuendeshea akaunt afu simpo kuapdet
Hivi M_ pesa mastercard haisumbui?
Kuna pesa yangu mpaka sasa hivi haijarudi na nikiwapigia voda wanasema kuna shida kwenye upande wa mastercard. Wiki ya pili sasa.
Huu usumbufu ni kwangu tu au kwa wote?
 
Hivi M_ pesa mastercard haisumbui?
Kuna pesa yangu mpaka sasa hivi haijarudi na nikiwapigia voda wanasema kuna shida kwenye upande wa mastercard. Wiki ya pili sasa.
Huu usumbufu ni kwangu tu au kwa wote?
Ata mm inshantokea but system inakua idle tu ila mzgo ulirud fresh
 
Ata mm inshantokea but system inakua idle tu ila mzgo ulirud fresh
Mimi bado haijarudi aisee. Nahisi wananizungusha. Cha ajabu nikiangalia salio linasoma sifuri wakati pesa nilishaweka. Nikijaribu kutoa pesa kwenye kadi naambiwa''server error''. Huku Kwenye account ya Mpesa pesa haipo. Yaani Mastercard hamna pesa, M_pesa nako hamna pesa.
Mpaka naona kero.
Hawa M_pesa mastercard naona wanataka kunitia shaka.
 
Huwa naweka pesa nktaka kununua kitu bac
 
Ila wakomalie coz kuna wahudum wa voda wasojua kitu
 
Nomba msaada wa kununua laptop hii wapendwa, hasa upande wa hapa nchini mambo ya kodi tofauti na gharama nitakazo lipia mtandaoni kwa maana ya purchase cost+ transportation cost
 
Tengene
Nomba msaada wa kununua laptop hii wapendwa, hasa upande wa hapa nchini mambo ya kodi tofauti na gharama nitakazo lipia mtandaoni kwa maana ya purchase cost+ transportation costView attachment 1254507
Tengeneza akaunti ya M-pesa Master card kisha convert hizo $ kuwa shillings ili ujue utalipia kiasi gani. Halafu weka sh zinazozidi kidogo kwenye M-pesa Master card kisha walipe. Subiria mzigo ukufikie sio ngumu ni kuclick tu.
 
Msaada tafadhali kwa wale mliowahi kununua bidhaa kutoka indianmart..uaminifu wao upoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…