Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Samahani unaweza niunganisha na muuzaji laptop na laptop gani nzuri i mean sifa zake mm na bajet ya kama lak 7 mkuuSishauri kununua laptop site za kichina mkuu, zinakuwa ghali kuliko Tanzania. Laptop za gen ya 4 kibongo bongo zinapatikana kuanzia laki 3.
Hio laki 7 unapata 6th gen ya maana kwenye refurbished ambayo ni sawa na hizo.
Pia kuwa makini na matapeli angalia reviews zake, na feedback za watu.
mbon bei sana hivyo
Mkuu Discountkubwa wanauza laptop nzuri sema wao wanalenga bei rahisi zaidi range ya 250K mpaka 400k hivi unaweza pata deal nzuri. Unaweza pata laptop pale ya laki 7 ikawa sio nzuri kwa budget yako.Samahani unaweza niunganisha na muuzaji laptop na laptop gani nzuri i mean sifa zake mm na bajet ya kama lak 7 mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkwawaMkuu Discountkubwa wanauza laptop nzuri sema wao wanalenga bei rahisi zaidi range ya 250K mpaka 400k hivi unaweza pata deal nzuri. Unaweza pata laptop pale ya laki 7 ikawa sio nzuri kwa budget yako.
Epic computers naona wana gen ya 6 i5 kwa 790k unaweza kwenda dukani kwao wapo city mall
Kwa maduka mengine kkoo hizo refurb za 6th gen around laki 6. Anzia mtaa wa swahili na uhuru hadi msimbazi na uhuru na pia angalia likoma na Aggrey kkoo.
Hizi ni cpu ambazo unatakiwa ungalie
-i5 6200u
-i5 6300u
-i7 6500u
-i7 6600u
-i5 7200u etc
Angalia tu ianze na 6 ama 7 na iishiwe na U mfumo huu 6xxxU
Ukipata kwa laki 6 itakuwa vizuri ili utumie hio laki 1 kununua ram na ssd.
Hapa mkuu unabidi utuweke sawa, tupendelee nini? Kununua kweny site za kichina maana sisi tunatak kuingia uko.Sishauri kununua laptop site za kichina mkuu, zinakuwa ghali kuliko Tanzania. Laptop za gen ya 4 kibongo bongo zinapatikana kuanzia laki 3.
Hio laki 7 unapata 6th gen ya maana kwenye refurbished ambayo ni sawa na hizo.
Pia kuwa makini na matapeli angalia reviews zake, na feedback za watu.
kwa simu na accessory site za kichina unapata rahisi mkuu, hapo nimelenga kitu kimoja tu laptop.Hapa mkuu unabidi utuweke sawa, tupendelee nini? Kununua kweny site za kichina maana sisi tunatak kuingia uko.
Na je zipi site nzur ambazo sio za kichina tuweze kutumia .
Ahsante
ipo lenovo thinkpad
Ahsante,kwa simu na accessory site za kichina unapata rahisi mkuu, hapo nimelenga kitu kimoja tu laptop.
site za kimagharibi computer na vifaa vyake vinakuwa bei rahisi zaidi, sema shipping inakuwa gharama kubwa
na kama nilivyosema hapo juu most of time laptop ukizikuta site za kichina bei yake haina tofauti na huku kwetu ama ni ghali zaidi,
ingia aliexpress hapa filter lenovo ama hp ama brand maarufu angalia bei, almost mara 2 ya bei za kwetu
Laptops – Buy Laptops with free shipping on aliexpress
Quality Laptops with free worldwide shipping on AliExpresswww.aliexpress.com
Hizi ni cpu ambazo unatakiwa ungalie
-i5 6200u
-i5 6300u
-i7 6500u
-i7 6600u
-i5 7200u etc
Angalia tu ianze na 6 ama 7 na iishiwe na U mfumo huu 6xxxU
Processor zisizokula umeme mwingi, nyingi zinatumia watts 15 na kuna baadhi chache watts 28.
Ungekuwa Mbeya ningeku pm. Ili nizichekiipo lenovo thinkpad
core i7 4200mq
8gb ram
320gb hdd
nvidia 730m 2gb
display size 14"
2hrs battery
465000/=
ipo lenovo
core i3 5005u
6gb ram
320hdd
3hrs battery
kioo kina mstari 1 mwembamba
display size 15.6
bei 400000/=
LOCATION SINZA DAR ES SALAAM
PM au weka namba yako nikupigie
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi ufanye tafiti then wewe ndio utupe jibuNaombeni mnijuze ubora wa bidhaa za aliexpress na vip gharama zilizoandikwa mwenye bidhaa ndio zenyewe au kuna gharama zingine za kodi?
C,z,Habari wakuu...?..kwa wale wenzangu wa kubet mnaweza kuoitia hapa ili muweze kujiunga na bet bomba online
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
PARIMATCH
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app