Riba zimeshuka ndugu mpk 14%HII NI KWA WATUMISHI WA SERIKALINI PEKEE
Vigezo vya kupata mkopo wa fedha kwa watumishi wa Umma.
1. Uwe na copy ya kitambulisho cha kazi
2. Uwe na copy ya kitambulisho c'ha taifa.
3. Salary slip moja ya mwezi uliopita.
4. Bank statement (miezi mitatu)
5. Passport size moja tu.
Kima cha chini cha mkopo ni kuanzia Tsh. 500,000 na kima cha mwisho cha kukopa ni 40,000,000.
Muda wa marejesho ni kuanzia miezi 6 mpaka miezi 96 (miaka nane). Utachagua mwenyewe unahitaji mkopo wa muda gani.
Huduma ni popote Tanzania.
pia riba yetu ni asilimia 1.4 kwa mwezi na asilimia 17 kwa mwaka
pia kwa wale wenye mikopo sehemu nyingine inawahusu pia ukiwa na uhitaji tunauwezo wa kununua deni ulilokopa...
mawasiliano zaidi piga 0692449416
Habar wadau,naomba msaada nmekuwa nanunua bidhaa ndogo ndogo mtandao hasa ebay na znafika. Kwa sasa ninahitaji trekta wakati napitia pitia Alibaba nimepata trekta za bei nzuri sana hadi nmepata hofu huwenda ni matapeli. Mwenye uzoefu na kununua bidhaa kubwa kama trekta,gari au combine harvester kupitia Alibaba naomba kujua is real?View attachment 1509784
Asante nduguFanya malipo kupitia PayPal, unapata guarantee that the machine will arrive, if it doesn’t you get refunded
Hata mimi Niliagiza eBay mwezi wa pili huu hakuna kituhivi mizigo ya Ali Express inafika kweli bado nimeagiza muda kweli huu ni mwezi wa pili unaisha au shida ni posta
Nayapataje hayo Mkuu na Taratibu zao zipoje?watu wanatumiaga ali express kuna baadhi ya makampuni ni cheap mfano Canaio,Singapore post
Kwa mzigo mkubwa ingia Alibaba. Wasiliana na unique air cargo au silent ocean agents wakusaidie.Nayapataje hayo Mkuu na Taratibu zao zipoje?
lakini mimi nataka kuagiza Mzigo mkubwa please nipe mwongozo juu ya hilo
Ukiwa Alibaba unawasilianaje na Silent ocean au UniqueKwa mzigo mkubwa ingia Alibaba. Wasiliana na unique air cargo au silent ocean agents wakusaidie.
******************************"****
*wagen karibuni unique aircargo mwanamapinduzi wa kwel kwenye biashara ya usafirishaji kwa njia ya anga*
kwa sasa tupo wazi mda wote hapa kariakoo mtaa wa pemba na livingstine na pia china pale xiaobei wapo wazi muda wote wale ambao walituma mizgo yao tarhe 27na kurud nyuma imeshafika ofs kwetu mnakarabisha kuja kuchukua waliotuma wiki hii kaen mkao wa kula pia tunapakia mzigo jumapili naomba muwasiliane na wamasupplier wenu wawaishe mzigo at least by jumamos saa 12 saa za china iwe imeshafika tayr ofsn kwetu china
in case of adress wape hii hapa 广州市荔湾区 岭南湾畔 西湾路.湾畔大街C1栋1206 (马查)18617335150
na pia kwenye mzigo wako aandike jina lako pemben iwe rahis kuutambua
china contact person @+255 655 124 177and @+86 186 8025 6564 tanzania
nichek mimi au @+255 784 064 956
Watafute Kwanza hao unique air cargo kwa mawasiliano yao ambayo nimekuwekea hapo. Watakuelekeza utaratibu mzima. Kuna anuani ya kichina nimekuwekea hapo juu ambayo Ni anuani ya unique air cargo huko china.Ukiwa Alibaba unawasilianaje na Silent ocean au Unique
Barikiwa sanaWatafute Kwanza hao unique air cargo kwa mawasiliano yao ambayo nimekuwekea hapo. Watakuelekeza utaratibu mzima. Kuna anuani ya kichina nimekuwekea hapo juu ambayo Ni anuani ya unique air cargo huko china.
Sasa ukishamaliza kunegotiate na seller huko Alibaba utampa hiyo address ya unique air cargo ya china ili atume mzigo kwao. Wao wataupokea na kuuleta Tanzania
Lakini watafute Kwanza hao unique air cargo wakuelekeze vizuri anuani zao na kila kitu.
Hawa silent ocean nao ukiwagoogle utapata anuani zao.
Ukonga MombassaUpo wapi
Namba ya kadi ya MasterCard ndio inatakiwa ili wakate hela ya kununulia hiyo bidhaa. Sijaona sehemu ya namba ya kadi ya biashara.Nimejaribu kuagiza bidhaa nnje, kila nikijaribu kwa ebay inanitaka niweke namba ya card ya biashara, kwasababu sina nikaamua kudownloas app ya amazon pia inanitaka nifanye hivyo hivyo. Kiukwel sina hiyo card na wala sijui naipatia wapi.
Ninachoomba mnisaidie kunielewesha. Je, haiwezekani kuagiza bidhaa na kuletewa mpaka ulipo bila namba za kadi ya malipo?
Na kama kuna ulazima wa kuwa na kadi ya malipo. Je, ninaipata wapi? Namaanisha utaratibu upi unafuatwa ili kuipata hyo card?
Ahsanteni!
Sas hyo card naipataje sasaNamba ya kadi ya MasterCard ndio inatakiwa ili wakate hela ya kununulia hiyo bidhaa. Sijaona sehemu ya namba ya kadi ya biashara.
Ila kuna ukweli wowote kuwa bidhaa inashuka bei unapoagiza??mzigo wangu upo dar leo siku ya 5 sijui posta wanakwama wapi au mpaka iwe mingi ndio itumwe mikoani
Mpesa Wana mpesa MasterCard kwa upande wa Voda na Airtel Wana Airtel MasterCard. Chaguo Ni lako.Sas hyo card naipataje sasa