TV nenda tu kkoo labd kama umepend aina flan ya tv na unapenda uipate kwa gharama yoyoye but kama lengo ni kuminimize cost nenda tu kariakoook kwaiyo kak unanishaurije kama tv bei pamoja na usafiri si inaweza ikawa sawa tu na tz?
Nashukuru kakaTV nenda tu kkoo labd kama umepend aina flan ya tv na unapenda uipate kwa gharama yoyoye but kama lengo ni kuminimize cost nenda tu kariakoo
Mkuu inafika lakini kwa kuchelewa mnoooo. Wewe unasema miezi miwili,mimi kuna ambayo niliagiza mwezi wa tatu mpaka leo kimyaa,ukitrack inaonesha mizigo imefika Tz lakini mikoani huku hakuna. Jamaa wa posta alisema kuna vifurushi vingi makao makuu posta naona kazi ya kuchambua ni shida inafanywa kikonokono[emoji849][emoji849][emoji849]hivi mizigo ya Ali Express inafika kweli bado nimeagiza muda kweli huu ni mwezi wa pili unaisha au shida ni posta
Ndio ila uliza kwanza kwa Tz then linganisha bei ya njeok kwaiyo kak unanishaurije kama tv bei pamoja na usafiri si inaweza ikawa sawa tu na tz?
Subiri waelewa wanakujaKama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza nahitaji kununua vitu China kupitia Alibaba ila nashindwa namna ya kulipia maana sina master card wala nini nilifikiria naweza kulipia kupitia cm sasa sielewi cha kufanya.
Naona bado waendelea kuelezea kulana kimasihara,ila wakimaliza watakujaSubiri waelewa wanakuja
OK*150*00*>4 .lipa kwa mpesa>6.mpesa mastercard>1.tengeneza card
Airtel money na mpesa unateleza tuuKama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza nahitaji kununua vitu China kupitia Alibaba ila nashindwa namna ya kulipia maana sina master card wala nini nilifikiria naweza kulipia kupitia cm sasa sielewi cha kufanya.
Tayar nimetengeneza unaweze kunpa muongo hapo?*150*00*>4 .lipa kwa mpesa>6.mpesa mastercard>1.tengeneza card
@mmewadadako*150*00*>4 .lipa kwa mpesa>6.mpesa mastercard>1.tengeneza card
@mmewadadako
then nenda kanunue hicho unachotaka kwenye option ya kulipia chagua mastercard afu ingiza card number na cvvukishafungua mastercard weka amount ya pesa unayohitaji kutoka kwenye mpesa kwenda kwenye card...*150*00*>lipa kwa mpesa>mpesa mastercard>weka pesa kwenye kadi