Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Habarini nyote,
Katika maisha yetu kusikia na kunusa kuna nguvu sana. Nawakumbusha tu lolote unalosikia toka kwa mtu kuhusu mtu tumia roho mtakatifu wako akupe ufikiri mpana, yumkini si kweli, ni nusu kweli, ni laghai, mbeya, ni wivu, ni hila, mpoteza uelekeo, mharibifu.
Tutende haki ya taarifa mfano ndugu katope wewe mi nakufahamu hivi, je nimesikia na kuambiwa juu yako haya je unajionaje katika hayo ebu jitete au kanusha, nimeona si vema nikuhumu japo ninayo nafasi kadri siku zinavoenda ntaweza kujionea kama yalosemwa yapo.
Natural justice of hearing for healthy friendships.
Hii haihusu adui au anaepanga kukuangamiza na ambae hupatani nae.
Tutumie akili kubwa kwenye tathmini.
Shukrani 🙏
Wadiz