Jifunzeni Siasa za Freeman Mbowe; Anachofanya Maria Sarungi ni ukosefu wa heshima kwa Mamlaka halali

Maria Sarungi, Mwanaharakati na Mwanachama hai wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekuwa akiendesha kampeni za kutukana na kudhalilisha Viongozi/Mamlaka halali kwenye mitandao ya kijamii kwa mgongo wa kudai katiba mpya.

Sio tatizo kudai anachokiamini, tatizo ni namna anavyoendesha hizo harakati zake, zimekuwa ni harakati za kutukana watu, kudhalilisha mamlaka halali na muda mwingine kubeza juhudi zinazofanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hakuna ubishi kuwa Mheshimiwa Freeman Aikeli Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema ni Mmoja wa Wanasiasa wa upinzani wenye mafanikio makubwa na historia itamuandika kwa wino wa dhahabu. Mbowe amekuwa wakati wote akikosoa, kushauri au kufanya harakati bila kudhalilisha au kutweza utu na heshima za watu wengine. Hawa wanaojiita wanaharakati wa mitandaoni ni bora wakajifunza na kuiga heshima na hekima ya Mwenyekiti wao.

Tunaweza kutoa dukuduku zetu bila kutukana, kukebehi au kudharau watu wengine na Serikali yetu ikasikiliza na kufanyiia kazi. Maria Sarungi, mamlaka unayoidhalilisha imewekwa na Wananchi. Serikali inafanya mambo mengi ya maendeleo haiwezekani kila siku wewe ni kukosoa tu as if hakuna Shule mpya zinazojengwa, barabara, miradi ya maji, hospital, vituo vya afya, miradi ya Umme, SGR, NHPJ, Elimu bure etc.

Tanzania ni nchi yetu, itajengwa na Watanzania.

Mungu ibariki Tanzania.

Mungu mbariki Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Sawa chawa umesikika ila unatakiwa utambue hii nchi ni huru.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Maisha bila challenge hayaendi.
 
Ingependeza ungeweka clip au copy ya tweet alizotukana na kutweza mamlaka.

Kile anachokifanya maria kilihitajika mida mrefu kutoa sauti za wananchi wasikike wapo ambao hawana adabu kama kina mdude, sijui osama lakini ndio watu wetu na ukitaka kujua watu wetu hawajaishi kwenye hekima fuatilia instagram za watanzania na wakenya za kwetu utaona matusi zaidi, lugha za chumbani kuwekwa hadharani ikionesha ni ukosefu wa akili pia tulionao kama taifa haswa kwa vijana.

Hakuna mtu alitukana watu kama Cyprian.musiba na kigogo lakini hakusikika ccm haga mmoja kuwakemea.

Msikilize maria vizuri nadhani hujamuelewa bado. Pia yule ile ni kazi yake na hakika anapata ujira toka kwa wafadhili na hata asylum amepewa nchi mojawapo hapa Afrika kama sio kenya,zambia basi zimbabwe ndio anakoishi huko.

Sisi tunaopenda kusikiliza different views tunamuelewa sana na anahitajika sana ili checks and balances ziwepo demokrasia inayotufanga tupewe misaada na mabeberu ndio inagaka tuishi kwa kusikiliza kauli mbadala.

Ukisikiliza space utaelewa watu wengi wana machungu sana sema wanaugumia moyoni na sio kwamba watanzania ni wajinga bali mfumo uliotuzunguka haikubali mawazo mbadala. Watu wameleta mpaka IMF policy iliyosababisha tozo hizi. Kuna elimu kubwa sana kule. Tozo haziondoki leo wala kesho. Tuisadie nchi yetu tuwaelekeze kwa mawazo mbadala.
 
Tz ni nchi huru na kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake pasipo kuvunja sheria. Maria Sarungi anatoa mawazo yake kwa njia ambayo wafia chama tawala ambao 75% ni wazee na watu wasiojua kusoma hawaipendi. Sgr, barabara, mwendo kasi na shule za kata zinaweza kuwa maendeleo kwako na kwa mwingine kwake ikawa tofauti na si kosa kukosoa au kubeza.
 
Maria Sarungi, Mwanaharakati na Mwanachama hai wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekuwa akiendesha kampeni za kutukana na kudhalilisha Viongozi/Mamlaka halali kwenye mitandao ya kijamii kwa mgongo wa kudai katiba mpya.

Sio tatizo kudai anachokiamini, tatizo ni namna anavyoendesha hizo harakati zake, zimekuwa ni harakati za kutukana watu, kudhalilisha mamlaka halali na muda mwingine kubeza juhudi zinazofanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hakuna ubishi kuwa Mheshimiwa Freeman Aikeli Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema ni Mmoja wa Wanasiasa wa upinzani wenye mafanikio makubwa na historia itamuandika kwa wino wa dhahabu. Mbowe amekuwa wakati wote akikosoa, kushauri au kufanya harakati bila kudhalilisha au kutweza utu na heshima za watu wengine. Hawa wanaojiita wanaharakati wa mitandaoni ni bora wakajifunza na kuiga heshima na hekima ya Mwenyekiti wao.

Tunaweza kutoa dukuduku zetu bila kutukana, kukebehi au kudharau watu wengine na Serikali yetu ikasikiliza na kufanyiia kazi. Maria Sarungi, mamlaka unayoidhalilisha imewekwa na Wananchi. Serikali inafanya mambo mengi ya maendeleo haiwezekani kila siku wewe ni kukosoa tu as if hakuna Shule mpya zinazojengwa, barabara, miradi ya maji, hospital, vituo vya afya, miradi ya Umme, SGR, NHPJ, Elimu bure etc.

Tanzania ni nchi yetu, itajengwa na Watanzania.

Mungu ibariki Tanzania.

Mungu mbariki Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Magu katukanwa sana na vijana wa ufipa, Kigogo, Mange, Maria Sarungi. Sikuona mtu akikasirika leo ndio mnakasirika vumilieni tu mmewalea wenyewe.

Japokuwa nao njaa tu kaa harakati zao wangezianza kipindi ambapo baba zao walikuwa wapo madarakani wakifanya madudu ningesema kweli hawa wanaharakati, ila nao nimegundua ni njaa tu zina wasumbua.

Tuendelea na utamaduni ulianza tokea enzi ya Mwendazake.
 
Maria Sarungi, Mwanaharakati na Mwanachama hai wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekuwa akiendesha kampeni za kutukana na kudhalilisha Viongozi/Mamlaka halali kwenye mitandao ya kijamii kwa mgongo wa kudai katiba mpya.

Sio tatizo kudai anachokiamini, tatizo ni namna anavyoendesha hizo harakati zake, zimekuwa ni harakati za kutukana watu, kudhalilisha mamlaka halali na muda mwingine kubeza juhudi zinazofanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hakuna ubishi kuwa Mheshimiwa Freeman Aikeli Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema ni Mmoja wa Wanasiasa wa upinzani wenye mafanikio makubwa na historia itamuandika kwa wino wa dhahabu. Mbowe amekuwa wakati wote akikosoa, kushauri au kufanya harakati bila kudhalilisha au kutweza utu na heshima za watu wengine. Hawa wanaojiita wanaharakati wa mitandaoni ni bora wakajifunza na kuiga heshima na hekima ya Mwenyekiti wao.

Tunaweza kutoa dukuduku zetu bila kutukana, kukebehi au kudharau watu wengine na Serikali yetu ikasikiliza na kufanyiia kazi. Maria Sarungi, mamlaka unayoidhalilisha imewekwa na Wananchi. Serikali inafanya mambo mengi ya maendeleo haiwezekani kila siku wewe ni kukosoa tu as if hakuna Shule mpya zinazojengwa, barabara, miradi ya maji, hospital, vituo vya afya, miradi ya Umme, SGR, NHPJ, Elimu bure etc.

Tanzania ni nchi yetu, itajengwa na Watanzania.

Mungu ibariki Tanzania.

Mungu mbariki Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Weka l hat kaption yake ya twita akimnanga kiongoz yoyote letee twita

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mungu mbariki Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassanumeel

umeeleweka, lakini mbona unalazimisha asifie!??
 
Hakuna sehemu ambayo nimelazimisha asifie.
See - Serikali inafanya mambo mengi ya maendeleo haiwezekani kila siku wewe ni kukosoa tu as if hakuna Shule mpya zinazojengwa, barabara, miradi ya maji, hospital, vituo vya afya, miradi ya Umme, SGR, NHPJ, Elimu bure etc.
 
Tz ni nchi huru na kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake pasipo kuvunja sheria. Maria Sarungi anatoa mawazo yake kwa njia ambayo wafia chama tawala ambao 75% ni wazee na watu wasiojua kusoma hawaipendi. Sgr, barabara, mwendo kasi na shule za kata zinaweza kuwa maendeleo kwako na kwa mwingine kwake ikawa tofauti na si kosa kukosoa

Kubeza juhudi zinazofanywa na serikali sio kos kulingana na katiba yetu.
Sawa MANDELAA KIWELU
 
Serikali inafanya mambo mengi ya maendeleo haiwezekani kila siku wewe ni kukosoa tu as if hakuna Shule mpya zinazojengwa, barabara, miradi ya maji, hospital, vituo vya afya, miradi ya Umme, SGR, NHPJ, Elimu bure etc.
Tunataka utawala Bora tu hizo shule ata wakoloni walijenga.sisi tupo mateka,hakuna tunachoweza kufanya juu ya watawala.ata UCHAGUZI hatuwezi kuwaondoa madarakani.hatuna mahakama,hatuna polisi, takukuru, bunge hakuna mnajifanya kusifu ujinga.
 
Back
Top Bottom