Hata mmiliki mwenye mzee m.tembo mstaarabu sanaNi watu waungwana sana hawa watu kuanzia mmiliki wa kituo mpaka wafanyakazi wake, inawezekana kuna tatizo baina yako mwenyewe na watu waliokuhudumia ambalo lilistahili kumalizika hapo hapo!
Sasa kwa nini anaajiri watu wanao mistreat wateja.Hata mmiliki mwenye mzee m.tembo mstaarabu sana
Ova
Puma?Pole sana mkuu mie sheli zilizokaa kitapeli tapeli huwa sijazi mafuta! Sheli chafu chafu wahudumu hawaeleweki! Sheli smart ni total nikizidiwa naweka Lake oil!
sema umeongea kitu muhimu huwa tunajaza jaza mafuta kihorela ila nakumbuka nishawahi kuharibu pump ya gari kwa sababu ya kujaza mafuta machafu .. ndo nikaanza kuchukia min cooperPole sana mkuu mie sheli zilizokaa kitapeli tapeli huwa sijazi mafuta! Sheli chafu chafu wahudumu hawaeleweki! Sheli smart ni total nikizidiwa naweka Lake oil!
Hapo mara mbili ndiyo panapoonyesha wewe siyo smart.na ni kweli litakuwa kosa ni lako kama alivyosema meneja wa sheliGari yangu ya diesel na nikawekewa petroli, nimewekewa mara mbili!
Nimeapa kutorudi kuweka mafuta hapo.
Kuna katatizo hapa.
Na manager aakawa mbishi na kusema ni shauri lako!
Sijui EWURA wanasemaje hapo.
View attachment 1827601
Huo ni utetezi wa kijinga.Mkuu hicho kituo alichotaja pump zimetengwa kbc petrol upande wake na diesel upande wake kwahiyo huyu jamaa ni mzembe tu unaenda na Vx unafika unalipaki upande wa diesel kumbe la petrol na haujaeka vile vi stika nani wakulaumiwa hapo?
Ndio maana anawatahadharisha wengine.Hapo mara mbili ndiyo panapoonyesha wewe siyo smart.na ni kweli litakuwa kosa ni lako kama alivyosema meneja wa sheli
Hivi ukingia kwenye kituo cha mafuta gari ni jukumu la nani kuielekeza kwenye pump ya mafuta husika!
Ova
PointJukumu la dreva kusoma wapi pameandikwa bidhaa unayohitaji pia kama una mashaka unauliza kwa muhudumu.
Madreva wengine umwinyi mwiingi ndio maana mnawekewa msichokitaka.
Sio lazima wote mfanye hivyo ila mi huwa siweki mafuta bila kumsalimia muhudumu kwanza, hii ni kumwonyesha kwamba namthamini
Hapana hioPuma?
Mkuu kazi za pump attendant si za mjinga yeyote toka kijijini.Jukumu la dreva kusoma wapi pameandikwa bidhaa unayohitaji pia kama una mashaka unauliza kwa muhudumu.
Madreva wengine umwinyi mwiingi ndio maana mnawekewa msichokitaka.
Sio lazima wote mfanye hivyo ila mi huwa siweki mafuta bila kumsalimia muhudumu kwanza, hii ni kumwonyesha kwamba namthamini
Utapata tu gari la kwako.Tusio na magari tupite kwa ukakamavu hapa....
Wewe tatizo lako inaonesha siyo suala la kuwekewa mafuta bali una chuki kubwa ya waziwazi kwa hao wahudumu, toka mwanzo wa hii thread nakufuatilia, au umewatongoza wamekukatalia mkuu maana suala la watu kutoka kijijini siyo hoja! Wengi wametoka kijijini hata wewe, kwa hiyo usijaribu ku underestimate watu kisa origin yao. Hopeless kabisaMkuu kazi za pump attendant si za mjinga yeyote toka kijijini.
Pump attendant mzuri hata akifungua kifuniko cha tenki anaweza kujua aina ya mafuta kwa harufu tu.
Suala la kituo hiki ni la kuweka watoto wa wajomba mashangazi na majirani toka kijijini.
Usibadilishe topic.Wewe tatizo lako inaonesha siyo suala la kuwekewa mafuta bali una chuki kubwa ya waziwazi kwa hao wahudumu, toka mwanzo wa hii thread nakufuatilia, au umewatongoza wamekukatalia mkuu maana suala la watu kutoka kijijini siyo hoja! Wengi wametoka kijijini hata wewe, kwa hiyo usijaribu ku underestimate watu kisa origin yao. Hopeless kabisa
Nenda polisi basi maana hayo ya kusema watu sijui wametoka kijijini haitakusaidia lolote mzee ukizingatia reputation ya hiyo filling station ni nzuri na inaaminika muda mrefu. haiwezekani asilimia 99 ya wachangiaji hapa wawe against wewe alafu bado uendelee kuwaaminisha watu kwamba filling station ndio wenye shida. Tatizo lazima litakuwa upande wako ndio maana umekosa guts za kuwachukulia hatua maana umegundua UJINGA uliufanya wewe ila umeamua kupunguza machungu yako kwa kuamua kukichafua kituo na bahati mbaya umekosa support kwa kuwa hayo unayoyasema watu hawajakutana nayo na haiwezekani wewe peke yako tu ndio upate hiyo changamoto. AlamsiqUsibadilishe topic.
Yes namchukia mtu au kituo kilichotaka kukaanga gari langu na kuwaonya wengine juu ya uwezekano huo Wa kupata hasara kubwa.
Once a mistake , mara ya pili kufanya kosa lilelile basi its a pending disaster kituo hicho.
Stay warned.
Chief sio issue ya kuishi mkoa upi,angalia mleta uzi kwenye hyo picha aliyo attach.Inaonyesha kabisa diesel ni wap na petrol ni wap so usiweke ligi kitu kinachoonekanaUponmkoa gani? Pump za kisasa Zina petrol na diesel horse hapo hapo.