Jihadhari na kununua hizi simu toka Google Pixel mwaka huu 2026

Mkuu simu ni software, izo hardware hata mimi naeza kudesign yangu. Huez linganisha software ya iPhone au Samsung na simu zingine miaka mia na kenda
 
Za kuanzia 2022 kushuka chini zina fault nyingi,chukua kuanzia pixel 8 za 2023 kuja juu,but OG sio copy au refurb
 
Kwa kuandika hivi basi umedanganywa kuhusu. Pixel hazina sifa ya kukaa na chaji, hiyo sifa ya kuzima tu ni zile refurbished ambapo kwa iPhone zina shida ya panick full na pia LLA zinasumbua vibaya mno. Kwa mantiki hii, iPhone ndio zinasumbua kuliko Pixel.

Samsung zinakaa na charge na zina fast charging capability kuliko iPhone na Pixel. Ila Samsung zinaweka green line hasa baada ya major software update. Pixel kwa kiasi fulani zinapata green lines au green inakuwa inafifia zikitumika miaka mingi. Ila kuanzia Pixel 8 hazina changamoto kubwa inayojulikana.
 
H Hapana kwa jamaa anazotumia zinakaa na chaji siku nzima zinamaliza na pia yupo busy sana na simu zake tofauti na Samsung..
Mimi nachukua 26 kwa sababu ya chaji inaweza kukaa masaa mengi tofauti na hizi zetu za nyuma sihitaji kujua kuhusu Iphone kwa sababu ya mwisho kutumia ilikua 14 nikarudi Samsung na naona naenda nao vizuri sana..
 
Mkuu simu ni software, izo hardware hata mimi naeza kudesign yangu. Huez linganisha software ya iPhone au Samsung na simu zingine miaka mia na kenda
Wewe nae acha kujidanganya,pixel ina google AI na android exprience,hivi unajua google ndio wamiliki wa android,simu zote za android haziwezi kuikwepa google,na software mpya yoyote ya android google pixel ndio uwa za kwanza kuzipata,unadanganya hapa eti unaweza kushindana kutengeneza software na mmiliki wa android,pixel kwanza hana version ya africa,nyingi zinazouzwa africa ni refurb tena ile refurb ya chini kabisa
 
Simu ni iPhone na Samsung tu izo zingine ni wadhamini tu
Mkuu
Sikupingi Hasa Upande Wa Samsung
Ninayo Sasa Hivi Samsung J5 Duos
Nilibadili Battery Tu Inafanya Vema
WhatsApp Telegram Email Playstore
Kwaujumla Ni Simu Kongwe Kwa Toleo Lakini Ipo Imara
 
Pixel hazina version ya popote pale. Ni bands tu ndio zinatofautiana. Tofauti na Chinese makers kama Xiaomi au Oppo ndio wanakuwa na version xinazotofautiana mfano Xiaomi 18 iliyokuwa launched this week international version yake ina slow charging speed tofauti na Chinese version.

Naipenda Pixel kwa kunirahisishia integration ya vitu vingi vya Android na kuwa rahisi kusoma. Nasoma sana so siwezi tumia iPhone kabisa kabisa haiko friendly na close ecosystem kwangu, labda Samsung. iPhone labda ningekuwa na uhitaji wa video recording kwa sana.
iPhone 17 series picha zake ni kama AI kwa baadhi ya objects hivyo sioni kama kitu kizuri, nadhani 18 zitakuwa hivi hivi. Picha za Pixel ni neutral hazipo oversaturated au kuwa AI modified sana automatically mpaka uamue.

Pixel ina disadvantage kwa baadhi ya vitu ila overall daily use kwangu mimi ni sawa. Ningekuwa sisomi sana Samsung ingekuwa chaguo langu.
 
Hujui chochote. Uwe na siku njema
 
Nimesemea version ya bei mzee,bei OG ya pixel africa tulipokariri samsung na iphone mtu hawezi kutoa pesa yake kununua pixel,mimi nishatumia hizo simu zote,japo IOS sikutumia muda mwingi nikarudi android,favor ya pixel ndio hiyo uliyoisemea hapo,features zake ni simple na zina upendeleo,kuhusu ubovu unaozungumziwa,wafanyabiashara wa simu wengi wa africa uwa wanaleta pixel refurb ya chini afrika
 
iPhone nilitumia mwezi kwa mkumbo nikateseka nikaachana nayo. Ilikuwa iOS 17
 
Ila iPhone ni simu zinadumu sana. Build quality ni ya juu simu ukiachana na battery kushuka viwango mambo mengine inaendelea muda mrefu. Na software support miaka inatosha ingawa siku hizi top Androids nazo zinatoa miaka mingi kwa flagships zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…